Wacha kujenerolize mamboKatika sekta ambayo watumishi wanalipwa pesa bila kuwajibika kwenye majukumu yao ni Hao watu wa mifugo na afsa ugani/kilimo (Kata)
Hawana msaada kwenye jamii lakini pia vichwani weupe
samesame...🤣Maxence Melo and other moderators, please rekebisha heading isomeke migufo NOT migufo
Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata.
Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata
itakuwa ni kilugha chao hicho, we elewa mifugo..😂Migufo ndio nini ?
Utendaji wao umekuwa mdogo sana na hata ukiwatafuta majibu yanakuwa magumu sana sio kama unavyotegemea toka kwa wataalamu hao.Maafisa mifugo kata wapo kila kata. Pia kuna maafisa mifugo wa kijiji kwa baadhi ya maeneo!
Labda unakaa kwa wawindaji huko hawafugi!
Hili ni kweli.Utendaji wao umekuwa mdogo sana na hata ukiwatafuta majibu yanakuwa magumu sana sio kama unavyotegemea toka kwa wataalamu hao.
Hta mimi wapo wa kilimo na mifugo. Sijui yeye yu wapi hukoMaafisa mifugo kata wapo kila kata. Pia kuna maafisa mifugo wa kijiji kwa baadhi ya maeneo!
Labda unakaa kwa wawindaji huko hawafugi!
SikupingiHawana msaada kwenye jamii lakini pia vichwani weupe
Tulikuwapo mkuu tukakimbia maslahi hakuna! Nchi hii ilishakuwa ya kipumbavu sana!Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata.
Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika almost kila kata