Sijipendi. Kwani yupo hospitali gani? Au udaktari wake ni WA kufundisha?Unataka kusema hata daktari sa100 suruhu hasani nae akili hana?
Wewe mleta mada unajipenda kweli?
Pakwa mume wako anajua upo jamii forumSijipendi. Kwani yupo hospitali gani? Au udaktari wake ni WA kufundisha?
mume wako ameona huu ujumbe kweli wakati unaandikaKwa muda sana nimeona fani ya udaktari hasa nchi za banana republic ikidharauliwa kwa kuwa WENGI wao hawana pesa na hawazingatiwi stahiki zao. Wapo wachache waliokwenye sehemu za kimkakati wanaokotaokota lakini asilimia kubwa ni hohehahe tu.
Tukio la jana ni symptom au ishara ya kutoheshimika kwao. Kama hawajui. Wanachukuliwa poa poa tu. Mtu unaamka zako tu unajiskia hovyo unaomba consultation kwa "mshkaji" tena free. Na umesoma sijui miaka mingapi. Mtaacha kuchkuliwa poa?
Nchi Ina mambo ya hovyo, mnayaona , badala msimame na wananchi ku resist mfumo dhalimu nyie business as usual. Wenzenu wanaposho, mikopo ya riba nafuu , special allowances, magari tena wanawazidi kwa kufanya kazi ya kuteka na kutesa raia.Wanaoteka, kutesa na kuua mnawatibu as if nyie ni malaika au ndo ticket ya kwenda jannah au peponi.
Ona Sasa jana mtu wenu alivochezea kibano mpaka ICU. Daktari bingwa kabisa!
Mnatakiwa msaidie wasioweza kuongea. Mnajua namna nyingi za kufanya kazi. Mnawalealea wanawapiga na wanakuja hospitali mnawachekeachekea, hawanaga rafiki hao.
Mwisho kabisa HAMNA AKILI.
eNa mimi nakuambia ukiona taifa linamiliki watu mataqo kama wewe wasioheshimu taaluma kubwa kama hiyo unayoisema!!?
Taifa Hilo halina mwelekeo na laazima litakua linaongozwa na wapumbavu wengi wakiwemo wazazi wako na ndugu zako !!!
Unaliwa weweee
Madaktari wanatuangusha sana. Choma mtu kristapen bila ganzi.Hii nchi inabidi kuanza kuonesheana undava kwa kila mtu na nafasi na ujuzi wake
Kwahiyo ulitaka aache kuwahi mgonjwa alafu afe kisa traffic anatengeneza mazingira ya rushwa na kuendekeza ubabe? Huna akili takataka tu.Daktari mwenye hasira za kipumbavu hadi kumpiga askari alistahili kabisa kipigo toka kwa wananchi wenye hasira kali. Kuwa na elimu kubwa uliyosotea iwe na impact kwenye jamii badala ya kufanya mambo kama mhuni wa pale Manzese aliyeishia darasa la pili.
Acha kutetea upumbavu. Traffic alikuwa kwenye majukumu yake ya kuzuia magari yanayopita service road. Na traffic halazimiki kujua huyu ni daktari au nani. Daktari wenu ni mpumbavu anayestahili jela hata miaka 10Kwahiyo ulitaka aache kuwahi mgonjwa alafu afe kisa traffic anatengeneza mazingira ya rushwa na kuendekeza ubabe? Huna akili takataka tu.
Angekuwa mama yako ndio anaenda kuokolewa na huyo daktari je?Acha kutetea upumbavu. Traffic alikuwa kwenye majukumu yake ya kuzuia magari yanayopita service road. Na traffic halazimiki kujua huyu ni daktari au nani. Daktari wenu ni mpumbavu anayestahili jela hata miaka 10
Acha kuota ndoto za mchana. Tunaongelea tukio halisi lililotokea sio ndoto.Angekuwa mama yako ndio anaenda kuokolewa na huyo daktari je?
Acha kuota ndoto za mchana. Tunaongelea tukio halisi lililotokea sio ndoto.
Kajifunze kwanza kuandika mkuu. Wapumbavu wapo kila sehemu hata kwenye udaktari.We mamaako ata umwa? Heshimu kazi za watu.
We ndio huna akili ya kuelewa. Na kama we mjuaji post picha yako real madaktari wakufurshishe.Kajifunze kwanza kuandika mkuu. Wapumbavu wapo kila sehemu hata kwenye udaktari.