Kwa muda sana nimeona fani ya udaktari hasa nchi za banana republic ikidharauliwa kwa kuwa WENGI wao hawana pesa na hawazingatiwi stahiki zao. Wapo wachache waliokwenye sehemu za kimkakati wanaokotaokota lakini asilimia kubwa ni hohehahe tu.
Tukio la jana ni symptom au ishara ya kutoheshimika kwao. Kama hawajui. Wanachukuliwa poa poa tu. Mtu unaamka zako tu unajiskia hovyo unaomba consultation kwa "mshkaji" tena free. Na umesoma sijui miaka mingapi. Mtaacha kuchkuliwa poa?
Nchi Ina mambo ya hovyo, mnayaona , badala msimame na wananchi ku resist mfumo dhalimu nyie business as usual. Wenzenu wanaposho, mikopo ya riba nafuu , special allowances, magari tena wanawazidi kwa kufanya kazi ya kuteka na kutesa raia.Wanaoteka, kutesa na kuua mnawatibu as if nyie ni malaika au ndo ticket ya kwenda jannah au peponi.
Ona Sasa jana mtu wenu alivochezea kibano mpaka ICU. Daktari bingwa kabisa!
Mnatakiwa msaidie wasioweza kuongea. Mnajua namna nyingi za kufanya kazi. Mnawalealea wanawapiga na wanakuja hospitali mnawachekeachekea, hawanaga rafiki hao.
Mwisho kabisa HAMNA AKILI.