Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Duuh hawa Jamaa mdogomdogo usikate hiki mara kile mwishowe watasema watu wasifanyiwe tohara( kutahiriwa)tena, ila wazingatie usafi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si upapase tu mpaka uangalieNgoja nikajiangalie kwanza
😂😂😂 Nakuona ulivyolisubiri jibu hivi inawezekana kweli sijui Nina hali gani katika ikulu yangu mpk nikajiangalie,,ilikuwa mbinu ya kukimbia hiyoSi upapase tu mpaka uangalie
[emoji23][emoji23][emoji23]Aaasubutuuuu,. wengine wana vuzi la kalikiti+stiliwaya full kuchomwa chomwa jomonii mpaka huelewi,.ziwepo tuu za stimulation kwa mbaaali na sio kama zile za yohana mbatizaji,. lol
😂😂😂 Ila kitu nachokubali kwenye msitu mara nyingi kunaambatana na uaminifu hasa kwa wapenzi wa mbali, yakirefuka sana unapunguza kwa mkasi tu zinabaki nyasi fupi Basi burudani😅Aaasubutuuuu,. wengine wana vuzi la kalikiti+stiliwaya full kuchomwa chomwa jomonii mpaka huelewi,.ziwepo tuu za stimulation kwa mbaaali na sio kama zile za yohana mbatizaji,. lol
[emoji23][emoji23][emoji23]ikulu mujaraabu[emoji23][emoji23][emoji23] Nakuona ulivyolisubiri jibu hivi inawezekana kweli sijui Nina hali gani katika ikulu yangu mpk nikajiangalie,,ilikuwa mbinu ya kukimbia hiyo
Kuna uhusiano gani wa uaminifu na msitu mnene..!?😆😂😂😂 Ila kitu nachokubali kwenye msitu mara nyingi kunaambatana na uaminifu hasa kwa wapenzi wa mbali, yakirefuka sana unapunguza kwa mkasi tu zinabaki nyasi fupi Basi burudani😅
Naaam ndo inanipa jeuri Mimi😂[emoji23][emoji23][emoji23]ikulu mujaraabu
Sasa Kama hamna mechi uwanja unafyeka wa Nini?😂😂Kuna uhusiano gani wa uaminifu na msitu mnene..!?😆
Kuepusha wadudu warukao na watambaao jomoniiSasa Kama hamna mechi uwanja unafyeka wa Nini?😂😂
Wanashauri pia tuoge mara mbili kwa siku kulinda ngoziMara masikio tusisafishe ile nta ni muhimu ,na leo tena mmekuja na nywele za sirini? tunaishije sasa
Kwa waislam tu.Kukaa na mavuzi mwanamke kukaa nayo kwa cku 20 na mme kwa cku 40 ni najinsi hivyo tusiwasikilize hao hata magomvi walikuwa hawakati sasa wanakata..
Basi tufanye pruning tuKuepusha wadudu warukao na watambaao jomonii
Woii....juujuu eeeBasi tufanye pruning tu