The Nile crocodile
Member
- Jan 21, 2021
- 58
- 89
Hii sasa kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wiki hizi nywele zimetrend sana.
Acha tuendelee kumakinika labda kuna kafursa kanataka kujitokeza.
[emoji16][emoji16]
Unapigaje deki kwenye nyasi?
Deki ubapiga kwenye tiles!
Na wanaume wachane tuWakati shangazi Mwanauani alitufundisha kuwa
Utafiti wa uchafu
Unajua idadi ya nerves zilizoko sehemu hizo? Ukimaliza msuko wewe ni shujaa.Wanawake wasuke tu
Na wanaume wachane tu
Ny
[emoji28][emoji28] kwahiyo zako umefuga rasta?Hee kumbe hua zinanyolewa?[emoji15][emoji15]
Acha kabisaKwamba Mungu fundi?
Psychology tu hiyo ndo inayochingia..kwamba kwa bibi now kuko poa,Hizi nywele nikizinyoa huwa napata hamu sana ya kufanya tendo la ndoa. Wataalam nisaidieni kuna uhusiano wowote kati ya hivi vitu viwili au ni mimi tu na matatizo yangu?[emoji848]
Labda vumbi la kongo😅