Madaktari waeleza umuhimu wa nywele sehemu za siri

Mbona baadhi ya Mikate tunayokula inatengenezwa ( inaandaliwa ) kwa Ngano kupondwapondwa kwa Miguu huku Majasho na Makamasi yanapengewa humo humo na bado tunainywea Chai mpaka Kushiba?

Sijaona hicho kitu, labda kwa wadosi/india.
 
Psychology tu hiyo ndo inayochingia..kwamba kwa bibi now kuko poa,

Mimi nikishave huwa naona dushe limeongezeka..sasa sijui hiki kimabia kinanidanganya au vipi?
Ila kweli inawezekana ni suala la kisaikolojia tu!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Itabidi ujithibitishie hilo pasi na shaka kwa kulinganisha hilo dushe before and after shaving!
 
Mwambie nguo ni mbadala wa hizo nywele. Kabla ya watu kuanza kuvaa nguo ni kweli zilikua na umuhimu. Lakini kwa ulimwengu wa sasa hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…