ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Lakini kukoboa sio dawa ya kuziondoa hizo sumu pia.Lakini mkuu hiyo dona inahitaji maandalizi ya kuosha vizuri ili kutoa ile sumu inayotumiwa kuhifadhia mahindi vinginevyo isipofanyiwa usafi dona hiyo italeta madhara kwa Afya za binadam
Ndiyo maana nimeeleza kuwa wenye mashine wasage unga ulio bora kwa kuyaosha mahindi vizuri na kuyakausha. Pale NMC Arusha kuna mashine yenye kupepeta, kuyaosha, kuyakausha na kusaga dona. Wawekezaji wengine wachukue fursa hiyo na nina hakika watapiga pesa kwani wengi tunajali afya zetu.Lakini mkuu hiyo dona inahitaji maandalizi ya kuosha vizuri ili kutoa ile sumu inayotumiwa kuhifadhia mahindi vinginevyo isipofanyiwa usafi dona hiyo italeta madhara kwa Afya za binadam