#COVID19 Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu.

Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda ndivyo sivyo watakuwa hawana wa kumwajibisha. Hivyo ushauri uzingatiwe pia.

Na mimi binafsi Sina shaka na huu ushauri wa hawa madaktari nguli kabisa, Hoja kubwa ni wataalamu wa afya kufariki wakiwa wanaendelea kupambana na ugonjwa wa corona, ila kuna mambo lazima waweke bayana.
  • wataalamu wa afya wanaendelea kufa, Ina maana hawa wataalamu wa afya walikuwa hawajapata chanjo? Ikiwa hawajapata, kwanini? Na wao ndio sisi tunategemea wawe mfano kwenye kutumia sayansi kukabili huu ugonjwa, hapa pana wasiwasi.
  • Ikiwa walipata chanjo, maswali yatabaki kwanini wanakufa kwa Corona ikiwa tayari walipata chanjo. Ina maana tutarudi kuwaambia watu kuwa chanjo haizuii kufa kwa corona?
Nimejaribu kujiuliza hivyo pia si kwa ubaya, ila vyovyote vile bado Kuna nafasi ya kupambana na huu ugonjwa na kuutokomeza.
It's Optional (Case Closed) !!! They should not return us backwards. Had the it been offering a permanent protection with ell established safety data I do not think if this should have been a concern. Let's move forward. Afterall where were they few months back to present this now !?
 
Mimi nadhani hayo ni maneno yako ukisema wamesema wanakufa ungeweka data ni wangapi wamepata na wangapi wamekufa? Je wangekuwa hawajachanja kabisa number zingekuwa vipi? kusema sisi tunakufa huku tumechanja na watu wachanjwe haileti maana. Ni wapi wamesema ukichanja ndio uko safe 100%. Chanjo inapunguza watu kuumwa sana mpaka kufikia kuwa ICU au inapunguza makali ya ugonjwa kwa kiasi kikubwa kuumwa bila kufikia hatua mbaya, na hili limethibitishwa nchi zilizochanja kwa wingi corona ipo lakini ICU ziko empty kuna wakati kabla ya chanjo kulikuwa hakuna nafasi Hosp zimejaa watu ICU leo corona ipo lakini hawafikii kuumwa kwenda Hosp. Chanjo haizuii kifo inapunguza kwa kiasi kikubwa sana. Ni kama dawa za malaria zipo na ukiumwa malaria chance kubwa utapona ukitumia dawa lakini pia kuna watu wanakufa na malaria pamoja na kutumia dawa sasa ingekuwa hakuna dawa kabisa za malaria ingekuwaje kwa wagonjwa. hoja utasema situmii dawa ya malaria faida yake nini mbona watu wanakufa kwa malaria.
Unapojikita kwenye kuchangia hojs hasa za kitaalamu, kwanza kabisa uwe na uwezo wa comprehension wa kujua mada ni nini, pili uwe na uwezo wa kufanya review ya kinachozungumzwa.

Rudi ukasome hoja ya hao madaktari; ni kuwa wanaitaka serikali ilazimishe watu wachanje na sababu mojawapo ni kuwa wao madaktari na wahudumu wa afya wanakufa sana kwa sababu ya kuambukizwa na wagonjwa wasiochanjwa wakati wakiwatibu. Hii ndio gist ya debate.

Sasa hoja zetu sisi tunaopinga ni kuwa wanakufaje sana wakati wamechanja na wakati nadharia zilizipo ni kuwa ukichanja hata ukipata corona huwi na hali mbaya na wala huhitaji oksijeni tofauti na wale wasiochanja?

Suala la wewe kunidai data, ulipaswa uwadai hao madaktari watoe data za hivyo vifo walivyosema wanavishuhudia mahospitalini. Mimi katika uzi wangu wa kuwahoji nimeuliza data pia.

Kabla hujadebate jitahidi kuelewa hoja ya msingi.
 
Ha ha
Sasa wewe inakuuma nini tukiwa wapumbavu? Au kinakusokota nini tukifa? Si ndio vizuri mbakie mliochanja werevu? Kinachokufurukuteni ni kipi haswa?

Empty head kabisa wewe!

It's Optional (Case Closed) !!! They should not return us backwards. Had the it been offering a permanent protection with ell established safety data I do not think if this should have been a concern. Let's move forward. Afterall where were they few months back to present this now !?
No no its optional for the time being, moving forward they suggestions from " our" experts is that it should be mandatory , case not closed.
 
Nimeshajanja single dose tarehe 12 Aug. Hao madaktari ndio wananafasi nzuri ya kujua wanaokufa waliochanja au wasiochanja, sababu kila siku watu wanakufa kazini kwao.

Wewe na mimi labda hatuna nafasi hiyo acha kujidai mjanja.
Woga wa kufa tu na story za Gwaji.

Ukiulizwa kwa nini huchanji utajibu upuuzi tu ndio mana nimekupa list ya nchi wamegundua chanjo wenyewe rudia comment, sio lazima uchanje ila likitokea lile balaa ujilaumu mwenyeee.
Swali rahisi tu kwa nini waliochanja hawafiku laki nne kati ya watanzania milioni 57? Je hao wote wasiochanja wanamfuata Gwajima?

Kwa nini ukereketwe na wasiochanja wakati wewe uliyechanja tayari uko katika safe zone na hao wasiochanja wako katika most danger zone?
 
Mkuu lazima ujue , dunia ya tatu ujinga ni moja ya sifa kuu za mtu.
Kuna wanaoamini kuwa waichanja tu watageuka misukule.
 
Ha ha

No no its optional for the time being, moving forward they suggestions from " our" experts is that it should be mandatory , case not closed.
How about re-infection after vaccination !!??
 
Inasikitisha. Kuna watu wengi wamekufa kutokana na chanjo. Ushahidi upo mwingi mno, kila mtu anajua. Waache kujipendekeza, hakuna mtanzania atakaye jipeleka kwenye kifo.
Sio kweli.Mtaje hata mmoja tu.
 
suggestions from " our" experts is that it should be mandatory , case not closed.
Our experts wamesoma pia hii?
Screenshot_20210918-121956_Office.jpg
 
Swali rahisi tu kwa nini waliochanja hawafiku laki nne kati ya watanzania milioni 57? Je hao wote wasiochanja wanamfuata Gwajima?

Kwa nini ukereketwe na wasiochanja wakati wewe uliyechanja tayari uko katika safe zone na hao wasiochanja wako katika most danger zone?
1.Ni hivi. Kwanza sijali kama wataamua kuchanja au la hata familia yangu nimkula dozi ni mwenyewe tu.
2. Nimekuja kujibu dhana potofu zinazoletwa hapa.

a. Tanzania tunaonewa wivu na mabeberu, wanataka kutumiza na chanjo.
b. Chanjo hazina utafiti wa kutosha hivyo zimemeletwa kwa majaribio kwetu.
C. Mbona ukichanja unakufa na corona .
d. Waliochanja ndio wanakufa zaidi ya wasiochanja.
e. Chanjo iliyoletwa ni tofauti na OG ya huko kwa mabeberu.
f. Corona haipo, nikupiga msosi fresh tu unadunda.

Na mengine yanayofanana na hayo.Ndio maana katika OG comment yangu nazani umeisoma nimeweka list ndefu ya nchi nadhani hata Egypt/misri wapo waliogundua chanjo zao wenyewe.

Ina maana yote niliyotaja hapo juu kama hoja zenu mnapogopa kuchanja wao hawazijui/ hawazioni mpaka wafanye kitu kwa kuiga tu mradi kuchanja.

Naona hii hoja yangu OG mmeshindwa kuipangua mnabaki ooh we kinakuwasha nini ooh mjinga mwenyewe n.k
poleni sana.
 
Wewe unakuja kupangua hoja kama nani? Umeona nukuu ya mtengeneza chanjo uliyochoma post ya hapo juu. Usitake kusema unajua zaidi yake...
 
Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu.

Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda ndivyo sivyo watakuwa hawana wa kumwajibisha. Hivyo ushauri uzingatiwe pia.

Na mimi binafsi Sina shaka na huu ushauri wa hawa madaktari nguli kabisa, Hoja kubwa ni wataalamu wa afya kufariki wakiwa wanaendelea kupambana na ugonjwa wa corona, ila kuna mambo lazima waweke bayana.
  • wataalamu wa afya wanaendelea kufa, Ina maana hawa wataalamu wa afya walikuwa hawajapata chanjo? Ikiwa hawajapata, kwanini? Na wao ndio sisi tunategemea wawe mfano kwenye kutumia sayansi kukabili huu ugonjwa, hapa pana wasiwasi.
  • Ikiwa walipata chanjo, maswali yatabaki kwanini wanakufa kwa Corona ikiwa tayari walipata chanjo. Ina maana tutarudi kuwaambia watu kuwa chanjo haizuii kufa kwa corona?
Nimejaribu kujiuliza hivyo pia si kwa ubaya, ila vyovyote vile bado Kuna nafasi ya kupambana na huu ugonjwa na kuutokomeza.
Kwa sababu hao madokta wanakufa basi wachanjwe wao.
 
Nawaza hapa sasa wote tukichomwa haya machanjo nani atabaki kuwasaidia ndugu zetu mazombi maana zombi hawezi msaidia zombi mwenzake isipokuwa asiyekuwa zombi
 
We unadhani hiyo dose ndio kwanza inaanza kutumika bongo kwa mara ya kwanza na tuna " EXPERTS" so dumb kiasi ambacho wapo wapo tu, hawajui wanafanya nini.

Nenda palepale healthline.com
Imeanzia mbali lakini hiki kifungu pia kipo.

Additionally, individuals receiving the J&J vaccine were less likely to be hospitalized than those who didn’t receive the vaccine. In fact, the J&J vaccine was 93 percent effective at preventing hospitalization for COVID-19 14 days after vaccination and 100 percent effective 28 days after.

Ukiendelea mbele

After 71 days antibodies remained stable in other cases increased.

Hiyo duration ya protection ni chanjo zote sio j& j tu, bado wako lab inafanyiwa kazi.

Hii kitu covid ilijuja vibaya sana.

Ndio maana naona mmeshindwa kupangua OG comment yangu # 104.

Hoja nyingi ni za kujirudia rudia
 
Wewe unakuja kupangua hoja kama nani? Umeona nukuu ya mtengeneza chanjo uliyochoma post ya hapo juu. Usitake kusema unajua zaidi yake...

Tulia bro. Alikokopi sio aliyetengeneza acha ulongo longo.

Ame quote kipande

Nenda healthline.com

Additionally, individuals receiving the J&J vaccine were less likely to be hospitalized than those who didn’t receive the vaccine. In fact, the J&J vaccine was 93 percent effective at preventing hospitalization for COVID-19 14 days after vaccination and 100 percent effective 28 days after.

Panua mawazo sio kila kitu kwenye mtandao unakula tu muna figisu kibao.

Au nikuletee nyingine kama hujatosheka.
 
We unadhani hiyo dose ndio kwanza inaanza kutumika bongo kwa mara ya kwanza na tuna " EXPERTS" so dumb kiasi ambacho wapo wapo tu, hawajui wanafanya nini.

Nenda palepale healthline.com
Imeanzia mbali lakini hiki kifungu pia kipo.

Additionally, individuals receiving the J&J vaccine were less likely to be hospitalized than those who didn’t receive the vaccine. In fact, the J&J vaccine was 93 percent effective at preventing hospitalization for COVID-19 14 days after vaccination and 100 percent effective 28 days after.

Ukiendelea mbele

After 71 days antibodies remained stable in other cases increased.

Hiyo duration ya protection ni chanjo zote sio j& j tu, bado wako lab inafanyiwa kazi.

Hii kitu covid ilijuja vibaya sana.

Ndio maana naona mmeshindwa kupangua OG comment yangu # 104.

Hoja nyingi ni za kujirudia rudia
Achana na ujinga wa healthline sijui nani. Hii ni factsheet toka kwa manufacturer. Hizo zingine porojo tu!

Tena nikuongezee na hiki kasome. Wewe leta siasa na porojo lakini hili jambo ni sensitive sana!

Screenshot_20210918-125358_Office.jpg

Screenshot_20210918-121956_Office.jpg
 
Back
Top Bottom