Nim
Nimecheki Fact Sheet ya PFITZER nimekuta;
COMIRNATY (COVID-19 Vaccine, mRNA) and the Pfizer-BioNTech COVID-19 Vaccine
may not protect everyone.
Vilevile duration ya protection " unknown" kama J&J.
Sasa jiulize kwa nini hizi taarifa watu hawaambiwi, wanaambiwa tu zitawakinga na watu wameamini kiasi ambacho ukiwaambia vinginevyo wanakuona mburura, mjinga usiyejua a wala be!
Kwa mtu yeyote anaweza kukimbia kwa data kama hizi.
Actually hii ni grand experiment, na fact sheet iko wazi kabisa. Ila ukisema hivyo kuna watu wanataka kukumeza. Jiulize ni kwa nini?
Lakini kwanini watalaam mabingwa kule USA wameruhusu zitumike kule kwao.? Itakuwa faida ni maradufu kuliko hasara.
Inaelekea chanjo zote zina hiki au kile.
Kuna habari hautazisikia kwenye vyombo vya propaganda vya mpinga Kristo ambavyo ndio wengi wamevipa macho, masikio na mioyo yao.
Mfano, hii habari umeisikia popote?
Two of the FDA’s
most senior vaccine leaders are exiting from their positions, raising fresh questions about the Biden administration and the way that it’s sidelined the FDA.
Marion Gruber,
director of the FDA’s Office of Vaccines Research & Review and 32-year veteran of the agency, will leave at the end of October, and OVRR deputy director Phil Krause, who’s been at
FDA for more than a decade, will leave in November. The news, first reported by BioCentury, is a massive blow to confidence in the agency’s ability to regulate vaccines.
A former senior FDA leader told Endpoints that
they’re departing because they’re frustrated that CDC and their ACIP committee are involved in decisions that they think should be up to the FDA
Ninaamini una akili timamu, na ninaamini umejua sasa kuwa wataalam kule hawako kimya. Fukuto lipo mpaka kwa most senior scientists ila hawatangazi na wanazima habari hizi kwa nguvu zote. Jiulize kwa nini?
Soma full story hapa:
In a major blow to vaccine efforts, senior FDA leaders stepping down
Sisi hatuna ujanja lazima tuagize tu chanjo tok nje.
Haikuwa lazima. Chanjo imekuwa authorized under emergency use. Wengi humu wanapiga taralila na hata hawajui maana ya EUA. Wangejua wangepiga kimya. Sisi hapa hatuna emergency so chanjo haikuwa lazima. Ila kwa sababu wameagiza itabidi watu wachome.
Kwa nini sasa hatuwaamini hawa mabingwa wetu wanavyotushauri ?
Sababu wao wanazo data halisi za wanaokufa na kupona, sisi wengine tunasoma tu na kufananisha na kuperuzi mitandaoni. Tuwaamini watalaam.
Wataalamu hawa hawa walioandika kilicholeta hii debate yote tuwaamini? Hawa hawa wanaotuambia chanjo iwe lazima, chanjo ambayo watengenezaji hawajui itamkinga nani na kwa muda gani, ndio tuwasikilize? Una uhuru wa kikatiba kuwasikiliza kwenye hili, ila mimi hapana. Naona kabisa wanatutupa chini ya uvungu wa basi lililo spidi 120.
Nawapenda na kuwaheshimu sana madaktari. Ni watu muhimu sana. Ila kwenye hili, hao madaktari waliosema wala sikubaliani nao. Wameiacha sayansi nyuma na hizi zote ni siasa kwa namna moja ama nyingine. Anayetaka kuwafuata aende nao tu, ni hiyari yake!