mwanachondogoro
Member
- Aug 27, 2013
- 40
- 8
India apelekwe
Yaani nimempeleka india ndo wakaja na hiyo ideami nashauri ufanye utafiti wa kutosha ikiwa ni pamoja na kujua kama hakuna hosp nje ya nchi zinazoweza kutibu shida hilo kabla ya kumkata mguu.
Mkuu kweli mimi nililiona hilo tukajichanga mpaka tukafanikiwa kwenda IndiaSorry to say ,siamini madaktari wetu!
Sio mimi tu,hata vilaza wa CCM hawatibiwi hapo,NI ULAYA medical check ups.
India au South Africa ndio wamebobea ohaya,sisi tumekalia politics & udini,
pole sana mkuu! sijajua kiundani tatizo la mtoto wako ni lipi , ila kutokana na maelezo yako naona linafanana na hemimelia (fibular hemimelia au tibial hemimelia au fibular anyyd tibial hemimelia)
hayo ni miongoni mwa matatizo makubwa sana katika afya ya mtoto na matibabu yake ni magumu sana,,,,,,,,,
ninaweza kurudi baadae na shule kamili ila kwa kifupi kuna option 2 za matibabu........
1. ya kwanza ni hiyo ya kukata mguu ( amputation) ili kuweza kujifunza matumizi ya miguu ya bandia katika umri mdogo , huku akibadilishiwa kila mwaka kulingana na anavyokua.
ii2. ni upasuaji wa mfululizo wa kurekebisha hiyo hali kila anapokua , hii ina athari nyingi sana ikiwemo deformities na maumivu ya mara kwa mara bila kusahau ni bei ghali sana na inafanyika marekani.
Asanteni sana lndia Ndio wameshauri akatwe na report yake tukijaaliwa salama kesho nitaiweka hapa ili madaktar muweze kuiona na kunishauri kwa sababu niliisahau ofisini tangu ijumaa kuna daktari nilimpelekea aione.
Nenda Tanga,njia ya Kwenda Mombasa Kenya,njiani upande wa Tanzania,kuna Kijiji kinaitwa Kibiboni,ukipanda bus za Dar Tanga Msa,mwambie konda akushushe hapo,yupo mtaalam,Mtanzania,ni dr wa tiba za asili(tiba mbadala wa mifupa,hapo nina uhakika tatizo la mtoto wako litakwisha.Nina mtoto mwenye umri wa mwaka moja na busy na amezaliwa na ulemavu wa miguu yaani anamfupa mmoja kila mguu madaktar Wanasema akatwe miguu kuanzia kwenye magoti ili aanzishwe mazoezi ya viungo bandia sasa ninachojiuliza jee taratibu za kitabibu zinasemaje kuhusu ya kukata viungo vya mtoto mdogo kama huyu na jee nyie akizaliwa na mfupa mmoja hawezi kutembea kwamba ile mfupa hauna uwezekano wa kutembea
India ndiko walikoshauri hivyo