Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

Duu hadi nimesisimka... Usimtukane mamba kabla hujavuka mto

Jr[emoji769]
 
Balaaa siku hizi watu wanajipa moyo na ARV ila ukumbuke ukipata ugonjwa kama kisukari high blood pressure,figo n.k yani hizo ARV huwa kichocheo cha kifo cha ghafla. Na wazungu wanataka watu wasipate muda wa kuuguza sana kwa hyo ni dkk tuu.
 
Kaburi limefukuliwa,tuliokuwa hatujui kilichokuwa nyuma ya pazia tumekijua...haya ni maisha na kila mmoja ana njia zake kufikia hatma yake.

Pamoja na kasoro zake za hapa na pale kama binadamu mwenye mapungufu kama ilivyo kwangu na kwako bado tunapaswa kumwombea katika safari yake ya mwisho.

Nawaonea huruma sana wanawe kwa pigo lingine kuu katika maisha yao.

Hakika mastori ya town yatapoa,hayatanoga tena,ucheshi wako tutaukumbuka kwa kadri tutakayoweza...

R.I.P Kibonde
 
Kamwe JF haiwezi kuchuja..hii ndo raha yake.. Ndo maana nikimaliza SIKU bila kuingia huku nakuwa kama mgonjwa.
 
Balaaa siku hizi watu wanajipa moyo na ARV ila ukumbuke ukipata ugonjwa kama kisukari high blood pressure,figo n.k yani hizo ARV huwa kichocheo cha kifo cha ghafla. Na wazungu wanataka watu wasipate muda wa kuuguza sana kwa hyo ni dkk tuu.
Kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…