Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu hadi nimesisimka... Usimtukane mamba kabla hujavuka mtoKAULI YA MADAKTARI KWA KIBONDE (imenyofolewa toka mtandao wa facebook)
![]()
ephraimu kibonde hii ndiyo shukrani yako kwa madr Nakumbuka sana mwaka 2007 , ukiwa hoi bin taabani wewe na mkeo namna madaktari walikuwa wanakuhudumia kwa huruma bila kukata tamaa! wakati we na mkeo mkiwa mmekata tamaa kabisa ya kuishi lakini madaktari wale walipigana kufa kuokoa maisha yako kimwili na kisaikolojia!
wakati huo ulikuwa huwezi hata kutembea ukiwa umenyonyoka hadi nywele, tena siku moja daktari mmoja alisaidia kukubeba kutoka juu kukupandisha kitandani huku ukitoa udenda kwa udhoofu, daktari yule hakujali hali hiyo mbaya uliyokuwa nayo kwani alikubeba bila hata kuvaa gloves wakati nesi aliyekuwa anakuhudumia alipokuwa akihangaika kutafuta gloves ili aweze kukubeba, unajua ni kiasi gani daktari yule alirisk maisha yake ?? ungeweza kumuambukiza ugonjwa wako lakini alisahau hilo kwa huruma yake na kukuhudumia kwa roho moja. jitihada hizo hatimae ziliza matunda na maisha yako yaliokolewa!!
sasa wewe kibonde ni fadhila gani kubwa sana au ni kiasi gani cha pesa ulichopewa na serikali hadi kusahau wema wa madaktari na kuweza kukaa na kuropoka ropoka ovyo hapo redioni?? wewe kweli kibonde ofall the people ni wa kuwatukana madaktari tena hadharani?? au umeshaahidiwa kutibiwa india maisha yako yote?? wewe na familia yako?? kumbuka kuwawewe essentially we na mkeo bado ni wagonjwa na bado maisha yenu yako mikononi mwa madr! Hivi next time utakapoenda clinic pale.......... utaweza kumtizama dr wako usoni?? Kibonde wewe kweli of all the people ?? mteja wa kudumu wa madr wa kila mwezi where the hell did u get the guts??
KIBONDE DOMO NA NJAA VITAKUPONZA
He died of Pressure in Bugando,Why u have a lot of unconfirmed News?AIDS is real. R.I.P Kibonde.
Kaburi limefukuliwa,tuliokuwa hatujui kilichokuwa nyuma ya pazia tumekijua...haya ni maisha na kila mmoja ana njia zake kufikia hatma yake.
Pamoja na kasoro zake za hapa na pale kama binadamu mwenye mapungufu kama ilivyo kwangu na kwako bado tunapaswa kumwombea katika safari yake ya mwisho.
Nawaonea huruma sana wanawe kwa pigo lingine kuu katika maisha yao.
Hakika mastori ya town yatapoa,hayatanoga tena,ucheshi wako tutaukumbuka kwa kadri tutakayoweza...
R.I.P Kibonde
Ulikua unampa dozi kaka?Yule alikuwa kwenye ARV muda mrefu tu. Kafariki kwa pressure. Itakuwa msiba wa Ruge ulimuumiza kupita maelezo.
KumbeBalaaa siku hizi watu wanajipa moyo na ARV ila ukumbuke ukipata ugonjwa kama kisukari high blood pressure,figo n.k yani hizo ARV huwa kichocheo cha kifo cha ghafla. Na wazungu wanataka watu wasipate muda wa kuuguza sana kwa hyo ni dkk tuu.
Kumbe AIDS unaweza kufa hata kwa presha? Nilijua ni mpaka uumwe ile ya kulazwa hospitali kumbe hata ghafla unadondokaAIDS is real. R.I.P Kibonde.