Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Ilikuwa ni wakati wakubadilisha zamu katika Hospitali moja kuu hapa jijini Mwanza ,katika muda huo daktari aliemaliemaliza shifti yake akitoka katika chumba na yule anaeingia shifti kuingia na kukaa kwenye kiti.
Alipokuwa akitoka yule aliemaliza shift alimuona zeruzeru au albino ,alipomuuliza kilichomleta albino akajibu amekuja kutahiriwa ,daktari hakutaka kuhoji zaidi akarudi ndani na kumwambia mwenzake aondoke kwani anahamu ya kuendelea na kazi ,arudi tu nyumbani akapumzike atamshikia ,kuona hivyo yule dokta akafurahi kwa kuwa atapata kufanya shughuli zake za nyumbani na kuwa amepata off siku nzima ,ila nae kutoka nje akamuona yule zeruzeru nae akamuuliza mbona upo muda mrefu Albino akajibu tumeambiwa tusubiri madaktari wanabadilisha zamu ,akaulizwa kwani tatizo ni nini ? Albino akajibu nimekuja kutahiriwa kwani umri wangu ni mkubwa na nimeonelea bora nitahiriwe na kuondolea govi ambalo ni kubwa sana.
dokta kusikia habari hiyo machale yakamcheza na kurudi ndani mbio na kumwambia mwenziwe nipishe shiti yangu nyumbani hakurudiki tena kwani funguo za nyumba ameondoka nazo mke wangu na ameenda Bugando na sina pa kwenda ,tafadhali ondoka nenda zako ,jamaa kusikia anatimuliwa akamwambia hapa haondoki mtu kwani nimeshaweka saini. Kuona hivyo akamwambia utatoka kwa nguvu akamshika koti na kutaka kumvuta ,jamaa hakusubiri kuvutwa alirusha ngumi na kumwambia huyu wangu kaja zamani hapo hapakukalika tena ikawa ni kurushiana mangumi hata wakaitwa wakuu na kuja kuamua ugonvi huo ,kumbe baada ya kuhojiwa walikuwa wanapigania govi kwani ilikuwa ni biashara wanayoijua wao tu,baada ya kutahiri wangeweza kuuza wanakokujua wao kwa bei kubwa sana.