Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

Madaktari wauaji Mt. Meru Hospital arusha

Aisee watu wagumu kuelewa kwa kweli.mvumbuzi ebu rudia comment zangu na angalia specification nilizoweka kuhusu mgonjwa wa kulaza na kutokulaza.kaka chnguza vizuri kama kweli mgonjwa wako angeshindwa kupitisha hata kitu his physical and general condition zingekuwa way too worse and frankly msingekuwa naye mpaka sasa.solid wont pass but definately soft au liquid food ingepita otherwise asingekuwa hai au angekuwa very wasted.u r right i did nt treat the patient but hainiingi kichwani kuwa isra angemdischarge mgonjwa @ this condition tena bila ya kutuconsult sisi tulio surgical department ili tumuwekee feeding tube tumboni.ugomvi wangu mimi na wewe ni hapo unapoinsist kuwa tulidhamiria kumuua ndugu yako.tts a very serious accusation it means hatuna utu hata kidogo
 
Hii thread imejaa jazba mno..!!! Tumezidi kuwaonea hawa madactari wetu..!! Hatukatai kuna wakorofi bt plz sio wote na sio kwa tukio hili..!!
Watanzania tunamatatizo makubwa sana ya maamuzi hasa linapokuja swala la afya...!! Mtu anaugua ananzaa kujitibai nyumbani kwa kwenda pharmacy kununua anti-biotics kwa kudhani kila ugonjwa unatibiwa na hizo dawa, zikishindwa anahamia kwenye kienyeji akishindwa anaenda kwa kina NDODI KOTE HUKO ASIPOFANIKIWA ndo anaenda hospitali..!!

Ukifika hosp ugonjwa ushakula umekumaliza kama ya huyo wa kwako, ukiambiwa hauna tiba unahitaji paliative care at home mnaanza jazba..!! Kwa taarifa zenu tanzania hamna hosp inayotoa hiyo huduma ya paliation hata huko kcma angedischargiwa tuu after a lots of vipimo then anaambiwa ni canner stage ya mwisho hamna tiba..!! Kwanini tusiwe honest, mizigo yetu tusitake kuwabebesha hawa poor doctors wanaowrk in very poor condition, low wage afu tuzidi kuwafustrate na malawama yasiyo na msingi..!!!
Tuwe kwanza sie responsible ndo tutaweza kuwawajibisha..!!!:israel:
 
Haya ya MVUMBUZI nayaona leo hapa Mount Meru hosptali na ntawajuza mengi after short break! Kazi kweli ndg zanguni na kwa hali hii Watanzania tutakwisha.
 
sio mountmeru tu nenda MAWENZI HOSPITAL HODI YA WAJAWAZITO ukajionee mambo! Mi kwa macho yangu nilishuhudia mwanamke aliyeletwa Mawenzi akiwa ameshajifungulia njiani na kwa bahati mbaya kizazi kikawa kimeharibika akaletwa ili apate huduma ya hospitali mana alikua na hali mbaya sana wale wakunga wakaanza kumsonya wakajizungusha mpaka mi naondoka sa nzima imepita hawakumpa huduma yoyote!
 
Ndugu hata kama huwezi fanya maamuzi kwa ushahidi wa upande mmoja huo ndio ukweli na mimi sikwenda kwa incharge kwa sababu madaktari wana tabia ya kulindana mno. Unakumbuka tukio la Muhimbili la mtu kufanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu na mwingine upasuaji wa mguu badala ya kichwa. Huu uzembe ulikuwa obvious na uliwashtua watanzania kiasi cha ku-question competence ya madaktari wetu lakini bado kulindana kulikuwa kwa hali ya juu mno.

Ni aibu kwa kumtuumu mtu pasipo na uhakika, ifanct mgonjwa wako ni palliative, inawezakawa dr alikuwa sahihi
Hiyo ni tabia mbaya kutaja jina la watu huku, sasa unafikiria sisi tutakusaidia vipi,...shame
 
Back
Top Bottom