Dr.Chichi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 2,393
- 632
Aisee watu wagumu kuelewa kwa kweli.mvumbuzi ebu rudia comment zangu na angalia specification nilizoweka kuhusu mgonjwa wa kulaza na kutokulaza.kaka chnguza vizuri kama kweli mgonjwa wako angeshindwa kupitisha hata kitu his physical and general condition zingekuwa way too worse and frankly msingekuwa naye mpaka sasa.solid wont pass but definately soft au liquid food ingepita otherwise asingekuwa hai au angekuwa very wasted.u r right i did nt treat the patient but hainiingi kichwani kuwa isra angemdischarge mgonjwa @ this condition tena bila ya kutuconsult sisi tulio surgical department ili tumuwekee feeding tube tumboni.ugomvi wangu mimi na wewe ni hapo unapoinsist kuwa tulidhamiria kumuua ndugu yako.tts a very serious accusation it means hatuna utu hata kidogo