Madaktari wengi ni misukule walio hai

Unaongea haya ukiwa kwenye kochi nyumbani kwa shemeji yako unakunywa energy na karanga mbichi ngoja siku uumwe ndio utaona umuhimu wa hao watu.

Nadhani hujamuelewa,kuuma kila mtu anaumwa hata wewe ambaye haupo kwa shemeji yako,inshu ni kwanini wanasayansi wetu wa afya hawana miongozi na tafiti na dawa zao kila jambo wanasubiri muongozo wa wazungu?huoni kuwa tuna wanasayansi wa afya misukule?
 
kosa la mfumo wa serikali au kosa ni product ( madaktari ) inayozaliwa kutoka mfumo mbovu wa ccmu ? angalai sehem sahihi ya kutupa lawama zako
 
Wanatibu kwa kufuata miongozo ya mabeberu,hakuna daktari bongo mwenye dawa yake au anatibu kufuata miongozo yeake hayupo,bora hata waganga wakienyeji kuliko hawa misukule ya mabeberu.
Hatukatai kutibu kutokana na mabeberu mana wao wanamuandaa daktari vema sana haswa kwenye upande wa vitendo zaidi kuliko nadharia
 
Ukweli usemwe,Dr. wa kweli ni yule anagundua tatizo na kulifanyia kazi.Huyo ni kipaji chake. Sio ninyi mnaopewa semina ikija dawa mpya ya mabeberu au mashine mpya,ninyi ni kufuata maelezo tu.
 
Unajua hujui,elewa mada usirukie tu.
 
Ndo maana mnaitwa misukule kwa kua hamjiongezi.Mnaishia pale alipo ishia mzungu
 
Huko ndiko kukariri kwenyewe
 
Madactar wengi kama sio wote ni wapumbavu na wanaoshiriki mfumo haramu wa kuangamiza maisha ya watu.

Wanajua kabisa baadhi ya dawa ni sumu lkn wanazidi kutushawishi tuzitumie,

Wanaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mtu apone lkn wanaendekeza maslahi mbele ya pesa.

Tiba ya magonjwa mengi ipo na inapatikana lkn kutokana na ushenzi waliofundishwa huko mavyuoni kuwa magonjwa fulani hayatibiki basi nao wamekuwa wapuuzi wanaozipinga tafiti asilia zinazotibu hayo magonjwa ambayo vyuoni wameaminishwa hayatibiki


Madactari ni mapromoter na wapiga debe wa matajiri na wafanya biashara dunian ambao wanaitumia Hii sector kama biashara yao ya kujinufaisha na kuutawala ulimwengu kupitia magonjwa feki, tiba feki na uzushi mwingi.

Magonjwa kama Ukimwi, Cancer, sijui vidonda vya tumbo, Presha, haya yanatibika na baadhi yao wanayosema ni magonjwa hayapo bali wameunda unda list ya vijigonjwa na kuvipa majina magumu yakutisha ili kuwahadaa watu kuwa hayo magonjwa hayatibiki, na wamewalaghai watawala wetu kuwa watakuwa wakiwapa misaada ya haya magonjwa kupitia chanjo, vifaa tiba, na mikopo ya kupambana na haya magonjwa, kumbe nyuma ya pazia ni uzushi unaoendelea na biashara haramu.

Afya ya binadamu ni biashara tamu sana ambayo inawatajirisha wengi sana kama hamuamini jiulizeni, mbona technolojia na sayansi imekua kubwa kwanini magonjwa hayakwishi? Kwanini kila siku maduka ya dawa na mahospitali yanaongezeka? Jibu ni moja tu hakuna solution yoyote iliyotengenezwa ili kutibu bali kuna mbinu haramu zimeboreshwa ili kuiboresha hii biashara haramu.

Magonjwa kama Ukimwi ni vitu ambavyo kiuhalisia havikutakiwa kupewa promo kama wanayoipa maana ukimwi kiuhalisia ni kakitu kadogo sana kanakozidiwa hata na homa, kiufupi ukimwi ni sawa na mafua ambayo yamepewa Promotion ya kutisha kuwa yanaangamiza na kuua ilihali hata ktk Top 10 ya magonjwa yanayoua huo ukimwi haupo na haujawai kuwepo, kiuhalisia Ukimwi haupp na haujawai kuwepo, bali kuna gonjwa la zinaa ambalo ni dogo kuliko hata UTI au kaswende, ambalo washenzi wanaonufaika na biashara ya madawa waliamua kuunda Hofu na kuieneza then watu walipoikubali hii hofu wakadanganywa kuhusu hiki kijigonjwa cha uongo wakiiitacho ukimwi.

Madactar acheni kusapoti ushetani mnaoufanya mahospitalini na mujali maisha ya watu, tunajua kuwa huo udactari wala sio wito bali ni kazi kama kazi zingine, sasa kwanini msitumie hizo akili zenu mlizotumia kukalili hizo pumba mnazotumia kutumaliza na badala yake mutumie akili kuleta mabadiriko ktk afya za watu? Kwanini msiwe wa kweli? Kwanini msianze kusapoti movement ya kuponya matatizo pasipo kutujazia matatizo mapya? Kwanini mnakua sehemu ya hii biashara haramu?

Madactari na waalimu ni watu ambao wametufikisha hapa tulipo kupitia hofu na kutujaza uongo mkubwa ambao kiuhalisia na kimtaa mtaa maisha hayapo kama wanavyotaka wao yawe, hawa ni baadhi ya watu, washenzi wa kikoloni wanawatumia kutudanganya,kutupotosha,kutiharibia afya zetu na kutumaliza taratibu kwa kujua ama bila kujua.

Bahati mbaya haya mambo wao wenyewe baadhi wanayafahamu na baadhi hawayafahamu na ndio hawa wanaopingapinga mambo.

[emoji117]Mark this: Unapoona maduka ya dawa yameongezeka, vituo vya afya kuongezeka, mahospital kuongezeka, vifaa tiba kuongezeka, uonapo haya mambo hutakiwi kushangilia bali unatakiwa kusikitika kwa huzuni kubwa kwa maana kifo kipo karibu na njia zake zinaboreshwa kila siku ili kifo kikufikie popote ulipo, kiufupi namaanisha penye nyuki ndipo penye asali, hii biashara haramu inakua kweli kweli, mitaani imechanganya kwelikweli na imekubali kutokana ongezeko la wateja(wagonjwa).

Muda wenu utafika tu wa kuumbuka.
 
Huko ndiko kukariri kwenyewe
Basi kama ni kukariri tuombe walimu wakasimamie majengo, wachore michoro ya barabara na madaraja makubwa.

Hakuna ukiraka kwenye fani mkuu.
 
Umeeleza vema sana.
 
Barikiwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…