madaktari wote Tanzania ni madaktari?

Mkuu georgeallen Tutakupa U-Waziri Mkuu unasemaje?Hutaki kupata cheo cha U-Waziri Mkuu wewe georgeallen?
Hapana msinipe uwaziri mkuu. Ofisi ya waziri mkuu imeshuka sana heshima kipindi hiki. eti wanataka billioni moja ya kuzika viongozi ambao hawajulikani watakufa lini. huu ni ufisadi taken too far. Labda unipe uwaziri wa kukosoa kosoa na kupinga pinga
 

Asante Dr. MziziMkavu (Hauchimbwi Dawa) kwa humility unayoonyesha, lakini kwa michango yako mingi unayotoa hapa mimi nakutunukia MD (mitishamba) honoris causa. Keep it up.
 


Mkuu hivi lini JK kasema anapenda kuitwa Dr? Lini kajipa cheo cha U-dokta?
 
traditional healers!!........na hawa wanaonunua vyeti kama akina Mzindakaya, JK etc????
 
sijazungumzia maovu ya mtu bali nazungumzia talanta na merit. waatu wapewe uongozi by merit na wawe na talanta ya uongozi. siyo kwa sababu ya kujuana au alikuponyesha kwa mizizi


Basi usitokwe na povu mkuu georgeallen, kwa kifupi mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu mpaka hivi naandika haya bado hatujapata mtu mwenye maovu yake hivyo fani yake inamlinda kutokana na ujuzi/taaluma yake hivyo cheo chake bado kiko pale pale. Nikuulize kidogo, kwani wewe fani yako ni nini zaidi ya kulalamika?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mbeba maboksi, mzee.
 
Asante Dr. MziziMkavu (Hauchimbwi Dawa) kwa humility unayoonyesha, lakini kwa michango yako mingi unayotoa hapa mimi nakutunukia MD (mitishamba) honoris causa. Keep it up.
Kifyatu hii kitu haipo- MD (mitishamba) honoris causa? Nimecheki google na Encyclopedia zote hamna
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…