Madalali Dar, walalama wachina kuingilia kazi zao

Hivi udalali ni biashara iliyosajiliwa? Vp wanalipa kodi? Kama hamna acha wanyooshwe
 
wabongo bana, kila mtu mchangiaji anaporomosha matusi kwa madalali, lakini bado mishe zake bila ya dalali hazendi. Dar kila simu ina namba za madalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…