Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi Basi ili Mambo yawe mepesi...
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app