Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Wakale walipoacha hela ya mboga!Sasa wao wakale wapi...
Nilitaka kuandika kitu ila nafsi imesita maana ningepigwa banJamaa washenzi sana hawa. Gari la mil 5 anakusukumia mil 6.5-7
😎KafanyajweAlichofanyiwa dalali mmoja Tegeta akili itamkaa sawa
Kapewa nyumba auze ml.30, yeye kamleta mteja kamwambia ml.60-50 haishuki. Jamaa kamwambia nalipa 40 dalali kakataa katakata.😎Kafanyajwe
ANDIKA man wanasoma humu watabadilika hahahanilitaka kuandika kitu ila nafsi imesita maana ningepigwa ban
Sawa tunajua ni kazi yao japo hawalipi Kodi Ila wangefanya tu wachukue Asante kwa mnunuzi na muuzaji ili biashara iwe nyepesiSasa wao wakale wapi...
Nilikutana na dalali kanambia gar mil 8.5 nikaenda kanikutanisha na mwenye gari. Mwenye gari anataka 9 cash na dalali alimwambia yeye anataka 9 me nikakubali kulipa 9 lakini nikajua dalali kwangu hapati kitu coz nimeuziwa nje ya Bei aliyonambia heeee akaanza kulalamika nimpe laki mwenye gar akasema usimpe chochote maadam ameshatukutanisha hahahaha tukamuonea huruma tukamchangia 50,50akapewa laki wasumbufu Hawa usiombee awe na shida ya hela anadaiwa Kodi au ada huwa wanafos kinomaJamaa washenzi sana hawa. Gari la mil 5 anakusukumia mil 6.5-7
Wakale walipoacha hela ya mboga!
Jamaa wanavuruga sanaHela ya mboga na ugali ipo kwa mnunuzi
Hivi hatuna kampuni ya udalali Tanzania?Jamani nyinyi mnaojiita MADALALI naomba angalieni uwezekano wa kubadili jinsi ya ufanyaji kazi WENU, mnachelewesha Sana biashara kwasababu ya kuweka chajuu kikubwa na WAKATI mwingine mteja akifika Bei ya mwenye BIDHAA hamsababishi wauziane...nawaomba CHUKUENI Asante KUTOKA kwa muuzaji na mnunuzi Basi ili Mambo yawe mepesi...
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mbona zipo nyingi MFANO kupatana Ila sasa tatizo ni kwamba wauzaji wengi sio wajanja wa kupost BIDHAA zao KWAHIYO wanaojua ndio wana kazi ya kuranda na Simu kupiga picha na kubandika matangazo...kuna wakati kupatana UNAWEZA ukagongana na mtu anauza kituchake mwenyewe biashara inakua nyepeeesiiiiiiiHivi hatuna kampuni ya udalali Tanzania?
Hawa jamaa ni wajinga kabisa
Mimi mwenyewe walishanipa hasara kibao
Kuna sehemu eneo la milion 4 waliniuzia million 7 badae nikaja kujua iliniuma sana ile pesa
Tunahitaji kampun ya udalali inayoweka rates za chini mfano kitu cha milioni 5 anachukua laki 5 kwa mnunuaji na laki 5 kwa muuzaji biashara imeisha yule mnunuzi analipia 5.5 million
Hii mijamaa ni noma hafu tamaa mbele. Usikute mwenye nyumba anapangisha 250 yenyewe inakwambia 300,000/=. Bila kujua kuwa mlipaji ataumia kila mwezi. Na hii ili apate hako ka 50,000 ka juuNilikutana na dalali kanambia gar mil8.5 nikaenda kanikutanisha na mwenye gar mwenyegar anataka 9 cash na dalali alimwambia yeye anataka 9 me jikakubali kulipa 9 lakin nikajua dalali kwangu hapat kitu coz nimeuziwa nje ya Bei aliyonambia heeee akaanza kulalamika nimpe laki mwenye gar akasema usimpe chochote maadam ameshatukutanisha hahahaha tukamuonea huruma tukamchangia 50,50akapewa laki wasumbufu Hawa usiombee awe na shida ya hela anadaiwa Kodi au ada hua wanafos kinoma
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ahahahaha wew ni Dalali wa Magari, bila shaka ulitaka kujiteteanilitaka kuandika kitu ila nafsi imesita maana ningepigwa ban
Afadhali hiyo. Nyumba (kiwanja cha 80M), wao wameuza 200M. Eti wachukue 120M. Mwenye nyumba kagoma hauzi tena!Jamaa washenzi sana hawa. Gari la mil 5 anakusukumia mil 6.5-7
Hivi hatuna kampuni ya udalali Tanzania?
Hawa jamaa ni wajinga kabisa
Mimi mwenyewe walishanipa hasara kibao
Kuna sehemu eneo la milion 4 waliniuzia million 7 badae nikaja kujua iliniuma sana ile pesa
Tunahitaji kampun ya udalali inayoweka rates za chini mfano kitu cha milioni 5 anachukua laki 5 kwa mnunuaji na laki 5 kwa muuzaji biashara imeisha yule mnunuzi analipia 5.5 million