Madalali mnachelewesha biashara za watu

Wenye Mali pia tatizo. Sasa kama utaletewa mteja bei imeongezwa si umuambie ukweli mteja mbele ya dalali !! Au na muuzaji nae tamaa za dunia.
 
wenye Mali pia tatizo. Sasa kama utaletewa mteja bei imeongezwa si umuambie ukweli mteja mbele ya dalali !! Au na muuzaji nae tamaa za dunia
Kwenye hii nchi fursa ni nyingi Sana ukitulia kuanza kutafuta MATATIZO ya watu ukaamua KUWASAIDIA utagundua watu wanashida nyingi Sana... na wanahitaji msaada

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Halafu kitu haikitoki sasa maana bei watu wanjua wengine nashangaa hupati mteja kumbu kuna mpumbafu mmoja kuweka upaja
Watu wa ajabu sana
Kuna madalali baadhi yao
Wanaharibu biashara za watu
Na kuwacheleweshea mambo yao

Ova
 
Hii kitu imenikuta madale nimeumia sana baada ya kununua kiwanja sqm 500 kupitia kwa dalali milioni 14 baada ya kukutana na jirani yangu niliyenunua kabla yake akanimbia amenunua milioni 8 kwa mwenye eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…