King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Ahahaa mambo ya:Hizi lugha ni za siri kumficha mteja, mfano sisi ambao mara nyingi tunasafiri na gari binafsi kuna lugha ya pesa wanatumia wale madalali wa abiria, ukiingia kichwa umepigwa. Unajua kuna pesa inaitwa mpira, paa, mpira paa, mbasa, talaa? Hahahaha
Paa ndogo
Kieka
Vibee
Talaa ndogo
Vifoko
Paa
Misiki
Msev
Mteze
Mteze paa
Mbasa
Mbasa paa
Talaa
Talaa paa
Mifoko
Paa kubwa............