Ahahaa mambo ya:Hizi lugha ni za siri kumficha mteja, mfano sisi ambao mara nyingi tunasafiri na gari binafsi kuna lugha ya pesa wanatumia wale madalali wa abiria, ukiingia kichwa umepigwa. Unajua kuna pesa inaitwa mpira, paa, mpira paa, mbasa, talaa? Hahahaha
Ahahaa mambo ya:
Paa ndogo
Kieka
Vibee
Talaa ndogo
Vifoko
Paa
Misiki
Msev
Mteze
Mteze paa
Mbasa
Mbasa paa
Talaa
Talaa paa
Mifoko
Paa kubwa............
Mpira ni sh ngapi na paa ni sh ngapi na mteze ni sh ngapiAhahaa mambo ya:
Paa ndogo
Kieka
Vibee
Talaa ndogo
Vifoko
Paa
Misiki
Msev
Mteze
Mteze paa
Mbasa
Mbasa paa
Talaa
Talaa paa
Mifoko
Paa kubwa............
Mmh! Hiyo gari itakua inahitaji service kama muandiko wa dalali
Inakua ina niniUkishaona neno inalengeshwa kimbia
Mimi nikiona uandishi wa hivi nakuwa sina imani na mtu husika.