Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?

Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..

Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...

NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080
Chukua hii brevis kwa 7mil.
Chombo iko poa
Call 0683011003
IMG-20210605-WA0026.jpg
IMG-20210605-WA0022.jpg
IMG-20210605-WA0024.jpg
IMG-20210605-WA0018.jpg
IMG-20210605-WA0023.jpg
 
mkuu mbona kama na wewe unachelewesha biashara
😅😅😅
Dadaangu biashara isiyo na changamoto haipo

Last week nilikuwa bugando tulicheleweshewa jeneza aisee ilitupa shida sana.

Kwa hio dalali kulalamikiwa ni kawaida tu
 
Chukua hii kwa milioni 5 kamili hakuna punguzo.
Haina shida yoyote
Inapatikana K.koo Dar

Call us 0683011003
IMG-20210605-WA0015.jpg
IMG-20210605-WA0014.jpg
IMG-20210605-WA0013.jpg
 
😅😅😅
Dadaangu biashara isiyo na changamoto haipo

Last week nilikuwa bugando tulicheleweshewa jeneza aisee ilitupa shida sana.

Kwa hio dalali kulalamikiwa ni kawaida tu
poleni sana
 
Huwa nawapatia. Nikitaka gari namwambia nauza gari anipe bei. Mfano nauza Crown utanitafutia mteja kwa bei gani? Atalalia braza hio siku hizi 7 basi nambadilishia kibao niletee Crown kuna 7.3 hapa uone atakavyobadilika!
hahaahaa nadhani kila mtu ana utaratibu wake wa kufanya biashara
 
Sasa utafanyaje kupataa muhusikaaa

Kuwa mtoto wa mjini anko...kama kweli unataka gari tafuta kijana anae shinda pale offer kumpa hata buku 50 akuonyeshe mmiliki ikiwezekana upate namba zake then una malizana nae kando una wa bypass mamburululaz wote pale

Hahahaha Le Akili Kubwaz U Know [emoji16][emoji38]🤣

Madalali siku zote unawapelekea hata mteja feki / au kijana kuchunguza issue flani anarudi na info. Unamlipa

Sio dhambi cz umemlipa mtu kukutaftia information.
 
Kuwa mtoto wa mjini anko...kama kweli unataka gari tafuta kijana anae shinda pale offer kumpa hata buku 50 akuonyeshe mmiliki ikiwezekana upate namba zake then una malizana nae kando una wa bypass mamburululaz wote pale

Hahahaha Le Akili Kubwaz U Know [emoji16][emoji38][emoji1787]

Madalali siku zote unawapelekea hata mteja feki / au kijana kuchunguza issue flani anarudi na info. Unamlipa

Sio dhambi cz umemlipa mtu kukutaftia information.
Sure mkuu aongeze maujanja Asizubae sana ..coz hapa mjini Kila mtu anaitaka pesa... Sehemu yeyote ukienda kiboya boya unapigwa
 
Back
Top Bottom