Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

Madalali wa magari wanavyochelewesha biashara

Huwa nawapatia. Nikitaka gari namwambia nauza gari anipe bei. Mfano nauza Crown utanitafutia mteja kwa bei gani? Atalalia braza hio siku hizi 7 basi nambadilishia kibao niletee Crown kuna 7.3 hapa uone atakavyobadilika!
Hahahahahahah

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuwa mtoto wa mjini anko...kama kweli unataka gari tafuta kijana anae shinda pale offer kumpa hata buku 50 akuonyeshe mmiliki ikiwezekana upate namba zake then una malizana nae kando una wa bypass mamburululaz wote pale

Hahahaha Le Akili Kubwaz U Know [emoji16][emoji38][emoji1787]

Madalali siku zote unawapelekea hata mteja feki / au kijana kuchunguza issue flani anarudi na info. Unamlipa

Sio dhambi cz umemlipa mtu kukutaftia information.
Hii nimeichukua mkuu directly naanza kuitumia

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?

Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..

Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...

NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080
Mkuu vp ulifanikiwa
 
Hali hii itakoma usijar pale watanzania wakijua umuhim wa kuuza mali zao kwenye mitandao rasmi kama ilivyo ebay, amazon, alibaba au jijiletu, kupatana na zoom
 
Back
Top Bottom