Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
- Thread starter
-
- #41
HahahahahahahHuwa nawapatia. Nikitaka gari namwambia nauza gari anipe bei. Mfano nauza Crown utanitafutia mteja kwa bei gani? Atalalia braza hio siku hizi 7 basi nambadilishia kibao niletee Crown kuna 7.3 hapa uone atakavyobadilika!
Hii nimeichukua mkuu directly naanza kuitumiaKuwa mtoto wa mjini anko...kama kweli unataka gari tafuta kijana anae shinda pale offer kumpa hata buku 50 akuonyeshe mmiliki ikiwezekana upate namba zake then una malizana nae kando una wa bypass mamburululaz wote pale
Hahahaha Le Akili Kubwaz U Know [emoji16][emoji38][emoji1787]
Madalali siku zote unawapelekea hata mteja feki / au kijana kuchunguza issue flani anarudi na info. Unamlipa
Sio dhambi cz umemlipa mtu kukutaftia information.
Mkuu vp ulifanikiwaUnajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?
Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..
Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...
NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chukua hii brevis kwa 7mil.
Chombo iko poa
Call 0683011003
View attachment 1808855View attachment 1808856View attachment 1808857View attachment 1808858View attachment 1808859
Kkoo kuna dongo jekundu siku hizi?Chukua hii kwa milioni 5 kamili hakuna punguzo.
Haina shida yoyote
Inapatikana K.koo Dar
Call us 0683011003View attachment 1808870View attachment 1808871View attachment 1808872
Hali hii itakoma usijar pale watanzania wakijua umuhim wa kuuza mali zao kwenye mitandao rasmi kama ilivyo ebay, amazon, alibaba au jijiletu, kupatana na zoomUnajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na gari Haina ubora Bei ipo juu najiuliza hivi kweli muuzaji yaani mwenye gair ndio anauza bei hiyo?
Nimegundua madalali wanamambo ya kijinga sana hawajui nini maana ya kamishen N.K yaani anataka kuuza juu na kamishen kote kwamuuzaji na mnunuz anataka..
Huu ni upuuzi wa mwendokasi nyinyi wauzaji anzeni kuchangamka kutumia mitandao wenyewe mkutane na mnunuzi mojakwamoja...
NATAFUTA GAR...VITS,/IST 6 MIL
0714045080
Hupajui mkuu? Jirani na mnazi mmojaKkoo kuna dongo jekundu siku hizi?