Madalali Wakamatika, sasa kujiandikisha, Bado wanawapiga bao mawakili!

Madalali Wakamatika, sasa kujiandikisha, Bado wanawapiga bao mawakili!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.

Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni 100 yeye atataka akuuzie milioni 150.

Kwenye vyumba ndo usiseme kuonyeshwa tu 20,000/= haijalishi utaipenda ama vipi. Ukishaipenda inakubidi umlipe malipo ya mwezi mmoja tena hawapunguzi hata thumuni.
Hawalipi kodi wala mapato yao hayana msaada wowote kwa nchi na jamii kwa ujumla zaidi ya kuwaumiza wananchi.

Hakuna mtu aliyepanga nyumba ambaye hajawahi kumlipa dalali kodi ya mwezi mmoja , hata kama ni mfanyakjazi wa TRA atakwambia alilipa na hakupewa risti ya EFD.!

DALALI wengi ni LA-SABA na WAKILI -CHUO MIAKA 4 na LAW SCHOOL mwaka 1.
Dalali anauza nyumba kwa bilioni moja na kulipwa milioni 100 kama fee, wakati wakili anandika mkata wa mauzo na kulipwa laki nne tu.
Dalali akishalipwa cha juu hana liability yeyote, wakili ndio anandika nyaraka, anasaini, anashuhudia, likitokea la kutokea yeye ndio anakamatwa!
Dalali halipi kodi yeyote, wakili anashtakiwa !
Dalali hana leseni, wakili ana leseni!
Dalali hadaiwi iwapo ata uza juu ya bei elekezi ila wakili anashitakiwa iwapo atauza juu ya bei.

OOOOOOOOOOOOOO.jpeg
 
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.

Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni 100 yeye atataka akuuzie milioni 150.

Kwenye vyumba ndo usiseme kuonyeshwa tu 20,000/= haijalishi utaipenda ama vipi. Ukishaipenda inakubidi umlipe malipo ya mwezi mmoja tena hawapunguzi hata thumuni.

Hawalipi kodi wala mapato yao hayana msaada wowote kwa nchi na jamii kwa ujumla zaidi ya kuwaumiza wananchi.

View attachment 3140625
Kuwepo kwa sheria ni jambo Moja lakini utekelezaji wa Sheria hiyo ni Jambo lingine.
 
kuna madalali, wapiga debe, mawinga,....hawa watu sijui serikali haioni kero wanazosababisha kwa wananchi?🤔🤔🤧
 
Kwa kweli mtoa madam nimekuelewa, Sasa wakikaza ndio umuhimu wa shule unapokuja,Dalali STD 7,Wakili Msomi chuo kikuu,anazidiwa mchongo na Std!Haiko SAWA.
 
Back
Top Bottom