Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Yule tajiri wa Jf? Hajawahi aisee ila nataka nijitongozeshe maana hata hanioni pamoja na kujipitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Khantwe nakuona sanaa kuliko unavyofikiria.
Wewe ni mmoja wa wadada ninaowapenda sana hapa JF. Na nakujua sana na nafuatilia post zako.
Kiufupi naogopa kukutongoza kwa sababu mapigo nitakayokupa yatakupabshida sana. Unaweza hata kwenda kwa mshana kuwatengemeza Inna wangu na relato wangu. Si unaona Inna nimekapa mapigo hatari hadi sasa hivi muda wote kapo beneti na mshana. Na ww unataka hivyo?
 
Hahaha uoga wako wa bure kabisa.. Mimi huwa naridhika na kile nnachokipata sina tamaa ya fisi...ila kama mkeo yuko karibu na Mshana basi ngoja nitulize mshono maana nisijeamka siku nakuta sura ya chini imehamia juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha jipe mwenyewe za kupewa haziji kwa wakati.
Raha jipe mwenyewe za kupewa haziji kwa wakati.


LOL!, Madame M.
Itabidi uanze mazoezi ya kukimbia mdogo mdogo ya kujiandaa kabla ya pambano shosti.
Kwa masaa yote hayo ukiibukia mechi ghafla bin ghafla bila mazoezi, tusije tukaku miss humu ndani! πŸ™‚
 
LOL!, Madame M.
Itabidi uanze mazoezi ya kukimbia mdogo mdogo ya kujiandaa kabla ya pambano shosti.
Kwa masaa yote hayo ukiibukia mechi ghafla bin ghafla bila mazoezi, tusije tukaku miss humu ndani! πŸ™‚
Hamna pambano linakuwa na sessions ya kula, kunywa, kucheza n. k
Halafu hawezi fika huko ntakapokuwa. Ni sawa na kupanga fumanizi ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…