Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Leo nimekuachia uniwakilishe....[emoji12] [emoji12]Hahahahaha dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimekuachia uniwakilishe....[emoji12] [emoji12]Hahahahaha dah!
Kalete fimbo haraka sanaRafiki chura ipo?
Khantwe nakuona sanaa kuliko unavyofikiria.Yule tajiri wa Jf? Hajawahi aisee ila nataka nijitongozeshe maana hata hanioni pamoja na kujipitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha uoga wako wa bure kabisa.. Mimi huwa naridhika na kile nnachokipata sina tamaa ya fisi...ila kama mkeo yuko karibu na Mshana basi ngoja nitulize mshono maana nisijeamka siku nakuta sura ya chini imehamia juu.Khantwe nakuona sanaa kuliko unavyofikiria.
Wewe ni mmoja wa wadada ninaowapenda sana hapa JF. Na nakujua sana na nafuatilia post zako.
Kiufupi naogopa kukutongoza kwa sababu mapigo nitakayokupa yatakupabshida sana. Unaweza hata kwenda kwa mshana kuwatengemeza Inna wangu na relato wangu. Si unaona Inna nimekapa mapigo hatari hadi sasa hivi muda wote kapo beneti na mshana. Na ww unataka hivyo?
Sipati picha hiyo mechi ya usaliti itakuaje maana inaonekana imepaniwa haswa.hahahahaha uwiiii umenichosha aahahahaha demi ,Neybright ,Heaven Sent ,Nalendwa , espy njoon jaman nimecheka aisee!tuna safari ndefu sana !jispoil mama maisha yenyewe haya yako wapi!pyee
HahahaWords....
NdioWachawe......[emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahahahaha uwiiii umenichosha aahahahaha demi ,Neybright ,Heaven Sent ,Nalendwa , espy njoon jaman nimecheka aisee!tuna safari ndefu sana !jispoil mama maisha yenyewe haya yako wapi!pyee
Pale ambapo Adam anaingia.Madam Mwajuma ni stage gani katika maandalizi ya sex mpaka tendo lenyewe huwa unaipenda?
Kwa hiyo ushamkubali?Hahaha uoga wako wa bure kabisa.. Mimi huwa naridhika na kile nnachokipata sina tamaa ya fisi...ila kama mkeo yuko karibu na Mshana basi ngoja nitulize mshono maana nisijeamka siku nakuta sura ya chini imehamia juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ya nchi hii lazima ianze saa kumi na mbili jioni hadi kesho yakeSipati picha hiyo mechi ya usaliti itakuaje maana inaonekana imepaniwa haswa.
Raha jipe mwenyewe za kupewa haziji kwa wakati.Eti aji spoil??!!! 😀😀😀
Haha!, Mbiti wewe unatafuta kuitwa majina yote chini ya mbingu humu ndani..LOL!
Naona jopo la shilawadu mnaitana mkusanyike...
View attachment 569154
hahahaa ngj waje
Walaa...hujaona alivyonitishia eti bebi wake yupo karibu na Mshana. Tusije tukanasiana bure mume wa mtu sumuKwa hiyo ushamkubali?
Raha jipe mwenyewe za kupewa haziji kwa wakati.
Raha jipe mwenyewe za kupewa haziji kwa wakati.
Mshana kitu gani uchawi humfuata anayeaminiWalaa...hujaona alivyonitishia eti bebi wake yupo karibu na Mshana. Tusije tukanasiana bure mume wa mtu sumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unanishaurije madamMshana kitu gani uchawi humfuata anayeamini
Hamna pambano linakuwa na sessions ya kula, kunywa, kucheza n. kLOL!, Madame M.
Itabidi uanze mazoezi ya kukimbia mdogo mdogo ya kujiandaa kabla ya pambano shosti.
Kwa masaa yote hayo ukiibukia mechi ghafla bin ghafla bila mazoezi, tusije tukaku miss humu ndani! 🙂
Kamata fursa