Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hakuchuuzi.
Usirudi tafuta kwingine
Haha.. Wise
. Anayejituma kutafuta
. Awe na upendo kwangu
. Asiwe mshirikina
. Mpenda mazungumzo na sio ligi
Hahahahahaha..Sina uhakika sana kama ni wa kweli ' ana badilika badilika kama cdm'
Unampenda nani jf?. Wise
. Anayejituma kutafuta
. Awe na upendo kwangu
. Asiwe mshirikina
. Mpenda mazungumzo na sio ligi
Mwajuma nitajeUnampenda nani jf?
Yule unayehisi yes he's perfect
Hakuna mtu perfect.Unampenda nani jf?
Yule unayehisi yes he's perfect
Una akili sanaKwenye ndoa (imaginary) mimi ni mama nahahakisha amani inakuwepo, na act as a catalyst kutuliza ama kuchochea kulingana na mahitaji ama jambo lenyewe.
Pia kuwa mke na sio kushindania authority.
Please nataka mwanaume.Hakuna mtu perfect.
Ila nampenda Faizafoxy yuko real sio mnafiki
HahaaaaaMwajuma nitaje
Kidogo maana nna maoungufu yangu, ukinitibua sanaaa nkaliamsha dude sio mchezoUna akili sana
Red.
Red mmh, si unaweza ukabaka??Red.
I see!Hii itabaki personal siku mahali na mhusika
Siwezi unafiki.Mwajuma nitaje
Hapana red huwa ni nzuri sanaRed mmh, si unaweza ukabaka??
Asante sanaI see!
Hongera yake huyo mtarajiwa
yuko bright sana.huyu mwajuma mie binafs huwa namfatilia sana kwanza anajiamini sana kitu ambacho ni afya sana sasa majibu yake hayo hahahaha kuna huyu na yule l@ladyAJ hahahaha
Sio mbaya.Hapana red huwa ni nzuri sana
yuko bright sana.
Kumbe sijamuona mimi tu.
Bora mwanamke mwenzako umemuona. Mimi ningesema ingeonekana kama namtongoza mwajuma wetu.
Ila dada yuko poa sana focused na ni Genous i can tell.