Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Kwenye ndoa (imaginary) mimi ni mama nahahakisha amani inakuwepo, na act as a catalyst kutuliza ama kuchochea kulingana na mahitaji ama jambo lenyewe.
Pia kuwa mke na sio kushindania authority.
Una akili sana
 
huyu mwajuma mie binafs huwa namfatilia sana kwanza anajiamini sana kitu ambacho ni afya sana sasa majibu yake hayo hahahaha kuna huyu na yule l@ladyAJ hahahaha
yuko bright sana.
Kumbe sijamuona mimi tu.
Bora mwanamke mwenzako umemuona. Mimi ningesema ingeonekana kama namtongoza mwajuma wetu.
Ila dada yuko poa sana focused na ni Genious i can tell.
 
Back
Top Bottom