Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Asee, Hahaha!
Amenichekesha jamani sio kwa ujasiri huu wa kupanga mpaka ratiba ya mechi ya ugenini...lol!
Hizo ni plans jaman. Maisha yana plan nyingi ila kwakuwa zimeulizwa hizo ndizo nimejibu. Wangeuliza za ki economic, political career ningejibu
 
yuko bright sana.
Kumbe sijamuona mimi tu.
Bora mwanamke mwenzako umemuona. Mimi ningesema ingeonekana kama namtongoza mwajuma wetu.
Ila dada yuko poa sana focused na ni Genious i can tell.
Ata umsifiaje hajibu pm yako[emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…