Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila alifanikiwa kukuroga kama anavyorogwaga Ebitoke...??Alifikiri kaniroga ila hawezi siamini sana hivyo vitu.
demi nimekukuta huku tena mi mapigo yangu ya moyo hadi nayahurumiaUpo vizuri
mimi na mbitizya ni kitu kimoja sema tu mwenzangu hajawahi kunikubaligiMazuri ambayo MBITIYAZA na Saint Ivuga wamekuelezea.
Unaweza kuchangia mume mmoja na mwanamke/wanawake wengine??Nilijiimarisha, acha tu
Baada ya muda wa kazi, kitu gani unapendelea kufanya??Tena ambao tunaanza ndo kudakwa ni chaap maana huna uzoefu wa kuzuga. Halafu kudanganya siwezagi nikibanwa ntasema ndio
Binadamu pindi anapoishi hawezi kurudi nyuma, bali hukubali yaliyotokea na kuwa makini yasijirudie endapo yalimuumiza ama kumkwamisha.Ikiwa utaanza upya maisha utabadili sehemu gani
DJ sepetu
Hapa itategemea kama nimekula viapo vya kiusalama labda.Upo tayari kumtoa muhanga mume au mtoto ili kuikomboa nchi yako wakat Wa vita?
DJ sepetu
Ni ipi tofauti ya kuishi Na kuwepo!
DJ sepetu
Jomoni why sasa?demi nimekukuta huku tena mi mapigo yangu ya moyo hadi nayahurumia
Na shoga ako retired sisterhuyu mwajuma mie binafs huwa namfatilia sana kwanza anajiamini sana kitu ambacho ni afya sana sasa majibu yake hayo hahahaha kuna huyu na yule l@ladyAJ hahahaha
Kwakujua hapana. Ila si unajua huko sirini tunachangia. Japo kama nimeolewa akiingia mwingine sitoki kwenye ndoa najiweka kimkakati upya namna ya kuishi na group marriage hadi nitakapoamua kama natoka ama laaah
Shemejiiii somaa hapooo[emoji115] [emoji115] [emoji115]Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Nimemgawaaaahahahahaha uwiiii umenichosha aahahahaha demi ,Neybright ,Heaven Sent ,Nalendwa , espy njoon jaman nimecheka aisee!tuna safari ndefu sana !jispoil mama maisha yenyewe haya yako wapi!pyee
Napenda kufanya usafi kwangu! Napenda kusoma articles za philosophers, napenda kutumia muda kuzungumza na wanafamilia kama wapo (yoyote atakayekuwa yupo kwangubkwa wakati huo)
Siku ambayo huwa Na furaha sana huwa unakuwajeKwakujua hapana. Ila si unajua huko sirini tunachangia. Japo kama nimeolewa akiingia mwingine sitoki kwenye ndoa najiweka kimkakati upya namna ya kuishi na group marriage hadi nitakapoamua kama natoka ama laaah