Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Mume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.

Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
 
"Ushilawadu" hii tabia imewaathiri sana mpaka wanaume sasa hivi, binafsi unayo tabia ya umbea?
Utafanya nini ukigundua mmeo ni mbea??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii anatumia mbinu mbalimbali tu, anabuni anajituma hara kama hana sautibanalazimisha mambo yaende yaani creative.

Mwanamuziki ni fundi wa kuimba, sauti nzuri ana kipaji kimemkaa
Yupi ni mfano wa kuigwa kwako ktk siasa, uchumi, na sanaa!!
Unampango wowote wa kushiriki ktk harakati za kisiasa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.

Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
Unavutiwa Na nn kimahaba kwa mwanaume!?

DJ sepetu
 
Mume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.

Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
Huoni kuwa utaenda tofauti Na dini zingine

DJ sepetu
 
"Ushilawadu" hii tabia imewaathiri sana mpaka wanaume sasa hivi, binafsi unayo tabia ya umbea?
Utafanya nini ukigundua mmeo ni mbea??

Sent using Jamii Forums mobile app

Umbea hufanywa na watu hasa wanaoendelea hawana msimamo maalum. Lakini kwakuwa Tanzania ni nchi ambazo watu hawajielewi umbea ni dili ni ajira. Mume mbeya sio mzuri atakuwa anajadili hata mambo yangu hovyo
 
Back
Top Bottom