Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hongera je kuna tofaut ya msanii Na mwanamuziki
Ipi
DJ sepetu
Msanii anatumia mbinu mbalimbali tu, anabuni anajituma hara kama hana sautibanalazimisha mambo yaende yaani creative.
Mwanamuziki ni fundi wa kuimba, sauti nzuri ana kipaji kimemkaa