Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My soft&black skinKiungo kipi ktk mwili wako unakihusudu zaidi
Kwann
DJ sepetu
BreastsKiungo please!
DJ sepetu
Hapana. Zamani nlikuwa nawaza hivyo now hapanaUnapomsaidia mtu huwa unawaza kwamba itakusaidiaje wewe
DJ sepetu
Kwanza napika chakula kizuri, naoga navaa vizuri na kama kuna niliyemkosea namuomba msamahaSiku ambayo huwa Na furaha sana huwa unakuwaje
DJ sepetu
Msinifanyie hivyo jamaniNimemgawaaaa
Haha umetushinda tabia aiseeMsinifanyie hivyo jamani
Mara ya mwisho kudanganya lini!
Je inawezekana ukadanganya bila kutamka neno!
DJ sepetu
Uandishi wa mashairi. Natamani kuandikia hasa wasanii nyimbo ila sijui wanazinunuaje maana naweza andika hata 10 kwa siku unanipa idea tuVizuri ni kipaji kipi kingine ungependa kukiendeleza
DJ sepetu
Kuiba sio maadili ila utafanya nn ikiwa ndio njia pekee inayoweza mpatia mwanao anaekaribia kufa kwa njaa
DJ sepetu