Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Red mmh, si unaweza ukabaka??
Hahah!, hapana Saint siwezi fikia huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Red mmh, si unaweza ukabaka??
huyu mwajuma mie binafs huwa namfatilia sana kwanza anajiamini sana kitu ambacho ni afya sana sasa majibu yake hayo hahahaha kuna huyu na yule l@ladyAJ hahahaha
Atakuwa mpenda chini tu huyo kabla hajanywa anaisingizia red wine.Sio mbaya.
Ila najua red wine mwanamke akinywa inakimbilia chini
Asantesure!
Jaman yamekuwa hayo thanks.huyu mwajuma mie binafs huwa namfatilia sana kwanza anajiamini sana kitu ambacho ni afya sana sasa majibu yake hayo hahahaha kuna huyu na yule l@ladyAJ hahahaha
Sio mbaya.
Ila najua red wine mwanamke akinywa inakimbilia chini
Waache, utafikiri hiyo chini unafanya mwenyewe bila mwanaumeKhaaa!, na mwanaume akinywa inakumbilia wapi?
Atakuwa mpenda chini tu huyo kabla hajanywa anaisingizia red wine.
Hizo ni plans jaman. Maisha yana plan nyingi ila kwakuwa zimeulizwa hizo ndizo nimejibu. Wangeuliza za ki economic, political career ningejibuAsee, Hahaha!
Amenichekesha jamani sio kwa ujasiri huu wa kupanga mpaka ratiba ya mechi ya ugenini...lol!
Waache, utafikiri hiyo chini unafanya mwenyewe bila mwanaume
Ata umsifiaje hajibu pm yako[emoji44]yuko bright sana.
Kumbe sijamuona mimi tu.
Bora mwanamke mwenzako umemuona. Mimi ningesema ingeonekana kama namtongoza mwajuma wetu.
Ila dada yuko poa sana focused na ni Genious i can tell.
Kusoma nini best?Hahaha!, naanza kukusoma vizuri Madam..
Nimetania tu ujue lakiniHahah!, hapana Saint siwezi fikia huko.
HahahaAta umsifiaje hajibu pm yako[emoji44]
Ha ha ha afu wewe siku hizi kama upo kwenye akili yangu ee.Ata umsifiaje hajibu pm yako[emoji44]
Asee, Hahaha!
Amenichekesha jamani sio kwa ujasiri huu wa kupanga mpaka ratiba ya mechi ya ugenini...lol!
Jirani yako haogopi mapigo ya mshana?Kabisaa mwambie huyo hajatulia....kwanza nmekumiss ujue jiran
Kumbe ni 'ma pm' yatakuwa mabaya labda.Ha ha ha afu wewe siku hizi kama upo kwenye akili yangu ee.
Nimetuma ma pm kibao kayanyamazia