Hizo ni plans jaman. Maisha yana plan nyingi ila kwakuwa zimeulizwa hizo ndizo nimejibu. Wangeuliza za ki economic, political career ningejibu
Si ndio ..naona sahv unaanza na gia ya kumsifiaHa ha ha afu wewe siku hizi kama upo kwenye akili yangu ee.
Nimetuma ma pm kibao kayanyamazia
Nimekuelewa vizuri Madam..
Umenifurahisha tu kwa ujasiri wa kuongea bila woga wala wasi. Wachache wako hivyo.
Hahaha unipe mrejeshoMazuri ambayo MBITIYAZA na Saint Ivuga wamekuelezea.
hahha acha kbs !haya mtu km huyu anadakwaje !haha kudakwa ni ujinga wako tu kwakweli
Jiran yangu yuko na YesuJirani yako haogopi mapigo ya mshana?
Tena ambao tunaanza ndo kudakwa ni chaap maana huna uzoefu wa kuzuga. Halafu kudanganya siwezagi nikibanwa ntasema ndioHahah!, yaani kabisa!
Halafu nilijiandaa interview ina maswali ya haja kama nahojiwa bbc nikajianda vyema kumbe ni masihara tu
Nilijiimarisha, acha tuEti BBC hahaha!
Haki wewe, usiniambie ukaanza kupitia current news kabisa kwa kujiandaa na Interview...LOL!
Tena ambao tunaanza ndo kudakwa ni chaap maana huna uzoefu wa kuzuga. Halafu kudanganya siwezagi nikibanwa ntasema ndio
Hahah!, Mbiti hii ni moja kati zile siku tulipeana company wakati tunasubiri watukufu!...LOL!
Nafanya regional au international betrayal. Haiwezi fikia hapo halafu mechi moja tu heavy basi
Tumezitoa kwenu maana tumetoka ubavuni kwenu.wanAwake akili zenu mnazijua wenyewe...
Mimi zaidi jirani, uko poa?Kabisaa mwambie huyo hajatulia....kwanza nmekumiss ujue jiran
Na mimi kuna clients nawahudumia kidogo i will be backGood morning mwajuma l will be back am driving for a while!
DJ sepetu
We ni nani
DJ sepetu
Yeye ni Madam Mwajuma
hahahahaahahahhaah JF, raha sana
unaweza kutusaidia sisi tuliotapeliwa na kelvin isaya??Na mimi kuna clients nawahudumia kidogo i will be back
Upo vizuriSio ya nchi hii lazima ianze saa kumi na mbili jioni hadi kesho yake