Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

What is your weakness and strength

DJ sepetu
My strength ni mkweli natimiza ahadi tukikubaliana(siwezi kukugeuka hivihivi) +hardworking, caring but Weakness yangu kubwa nikisema no ni nooo hata nikivumilia jambo likanifika mwisho hakuna wakunibadilisha.
 
Hapo umenikosha mamii
 
Mwajei. Ukimaliza interview unitafute ujuw nilishakuita toka jana ila naona kimyaa.
Usisikilize ya watu wewe nifate hujui bahati gani unaipoteza.
 
Labda anisaliti kwa matabia yangu yaliyokithiri kama kumnyima haki yake kwa mda mrefu, uchafu uliopitiliza hapo ntajua shida ni mimi najirekebisha. Vinginevyo namlia timing tu
Ndio sababu ya ule mpango uliosema Jana!?

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…