Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Siku chache kabla ya kuleta mahari nilibamba chat zake na babake. Baada yakunitembelea nikamfuma anarushia vitu flan mlangoni. Nikauchuna nikamfuatilia week haikuisha.Ulijuaje ukweli
DJ sepetu
Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Alifikiri kaniroga ila hawezi siamini sana hivyo vitu.Hahaha!
So ukamwacha!
Hukurogwa
DJ sepetu
Masters.Degree, ila niko naendelea na Master
Duh hiyo mechi itakuwa Kali sana.Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
MamaaaaaaaaSijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Mamaaaaaaaa
Mwishowe
Shauri zako, usije ukasema sijakuonya!
Sio kisasi. Ntakufa bila kusaliti hata mara moja ntatubu nini?Ha!
Kwann
Ni kisasi
Au pesa
DJ sepetu
Nafanya regional au international betrayal. Haiwezi fikia hapo halafu mechi moja tu heavy basiMamaaaaaaaa
Mwishowe
Shauri zako, usije ukasema sijakuonya!
Asalam aleikum sheikhe.Saint Ivuga kashanitongozea mademu wangu wanne hapa... mi nimeamua kumwachia shetani asemezane naye.
hahaaha usimtishe mkuu ukifumaniwa ni wewe UMEPENDA
Sio kisasi. Ntakufa bila kusaliti hata mara moja ntatubu nini?
Hata mm nafikiria kusakiti sikumoja itabidi madam tuongee chemba.Sio kisasi. Ntakufa bila kusaliti hata mara moja ntatubu nini?
Kwenye ndoa (imaginary) mimi ni mama nahahakisha amani inakuwepo, na act as a catalyst kutuliza ama kuchochea kulingana na mahitaji ama jambo lenyewe.Una nafasi ipi ktk ndoa
DJ sepetu
Saint Ivuga kakataa etiiiii, badae uje kule kwetu mida ile ya popo ntakujibuInna interview yako lini? Nina maswali matatu tu!