Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Siku chache kabla ya kuleta mahari nilibamba chat zake na babake. Baada yakunitembelea nikamfuma anarushia vitu flan mlangoni. Nikauchuna nikamfuatilia week haikuisha.
Hahaha!
So ukamwacha!
Hukurogwa

DJ sepetu
 
Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Mamaaaaaaaa
fumanizi.jpg

fumanizi-jpg.75555



Mwishowe

images



Shauri zako, usije ukasema sijakuonya!
 
Back
Top Bottom