Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Siku chache kabla ya kuleta mahari nilibamba chat zake na babake. Baada yakunitembelea nikamfuma anarushia vitu flan mlangoni. Nikauchuna nikamfuatilia week haikuisha.Ulijuaje ukweli
DJ sepetu