Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Kati ya baba Na mama nani amekuathiri zaidi kitabia Na mfumo wako Wa maisha
DJ sepetu
Baba kaniathiri kitabia sana hasa ya kuwa genuine, kufanya kazi na kujitegemea ni philosophy ya familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya baba Na mama nani amekuathiri zaidi kitabia Na mfumo wako Wa maisha
DJ sepetu
Saint Ivuga kashanitongozea mademu wangu wanne hapa... mi nimeamua kumwachia shetani asemezane naye.Hata hakumbuki.
Hivi wewe hujawahi tongozwa na Saint Ivuga ?
Nilishakuambia watu ambao hawana chura kama wewe hawatakiwi JF ila nashangaa bado unarandaranda huku tu!![emoji32][emoji32][emoji32]......ole wako nitakapokuwa mods mwakani!
Unadhani kitu gani ulikosa utotoni kimeathiri your life performance
DJ sepetu
Aisee... kumbe baba yako si mtu mzuri kabisa aseeBaba kaniathiri kitabia sana hasa ya kuwa genuine, kufanya kazi na kujitegemea ni philosophy ya familia.
Degree, ila niko naendelea na MasterUmesoma kiwango gani
DJ sepetu
Fafanua hii sijaelewa
Ila sio wa ndoa. HahahJe una mume
DJ sepetu
RabekaMwajuma.