Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Tena iwe kama hatupo vileView attachment 569131
Tutulie kama tunanyolewa...
upload_2017-8-17_21-37-48.jpeg
 
Tatizo sasa hivi uvumilivu ziro,wazee wetu walivumiliana sana,walikua watunza siri wazuri
nimeipenda hii picha aisee..imagine walikuwa wote tangu vijana wadogo mpaka hapo..
inavutia[emoji4] [emoji4] [emoji7]

sisi miaka miwili ndoa chalii
 
Back
Top Bottom