Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Hahaha uoga wako wa bure kabisa.. Mimi huwa naridhika na kile nnachokipata sina tamaa ya fisi...ila kama mkeo yuko karibu na Mshana basi ngoja nitulize mshono maana nisijeamka siku nakuta sura ya chini imehamia juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwa mshana anajihangaisha.
Hio midude huwa hainipatagi.
Hawa wewe nitakuwekea upako hakuna litakalokupata.
Nitafute nitembelee getto nitakupaka mafuta mgongoni.
Hapo utakuwa very safe
 
146a5497c40d36514a6ebf5cce66d03c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Back
Top Bottom