Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Allow me nikufanyie interview?Hivi hizi interview mbona mi zinanipita sana yani nina maswali yangu lukuki sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allow me nikufanyie interview?Hivi hizi interview mbona mi zinanipita sana yani nina maswali yangu lukuki sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kutukamaka. Huko overseas atafikajeHamna pambano linakuwa na sessions ya kula, kunywa, kucheza n. k
Halafu hawezi fika huko ntakapokuwa. Ni sawa na kupanga fumanizi ikulu
Nataka kuuliza si kuulizwa[emoji23]Allow me nikufanyie interview?
In my own riskNa wewe unatumia hii kitu?
Nalendwa watumia wine gani? White red?
Yaa haina mi harufu kama....Hahaha!, sawa mamie wine ndo yenyewe!
Salama kabisaIla kweli mambo yetu ya pm yaishie huko huko pm.
Vipi siku yako imeanza swalama.?
Uliza moja moja hadi yaisheHivi hizi interview mbona mi zinanipita sana yani nina maswali yangu lukuki sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mume wa mtu? Kama jibu ni ndio. Ulijisikiaje?Uliza moja moja hadi yaishe
Hapana. Ila si unajua hawa wa kileo unakuwa naye kesha weka kinyumbabkadhaa bila kuwaoa na kuwaacha hahahaUshawahi kuwa kwenye mahusiano na mume wa mtu? Kama jibu ni ndio. Ulijisikiaje?
Doh unapenda mwanaume wa aina gani?Hapana. Ila si unajua hawa wa kileo unakuwa naye kesha weka kinyumbabkadhaa bila kuwaoa na kuwaacha hahaha
Hapana hivi vitu ni how you make it jipe raha
Umeshampata msaliti mwenzio?[emoji23]Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Hehehe yakinikuta narudi kwakoHapana hivi vitu ni how you make it jipe raha
. WiseDoh unapenda mwanaume wa aina gani?
Hapa naomba ujibu kwenye nyanja zote
Hii itabaki personal siku mahali na mhusikaUmeshampata msaliti mwenzio?[emoji23]