Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Niko kama Vanessa Mdee sema mi mrefuAsprin sabalakheri sheikh.
Ijumaa hii usipitwe na neema za Allah sheikh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kama Vanessa Mdee sema mi mrefuAsprin sabalakheri sheikh.
Ijumaa hii usipitwe na neema za Allah sheikh.
So sweet.Niko kama Vanessa Mdee sema mi mrefu
Hoster usinimind mkuu.What is your weakness and strength
DJ sepetu
My strength ni mkweli natimiza ahadi tukikubaliana(siwezi kukugeuka hivihivi) +hardworking, caring but Weakness yangu kubwa nikisema no ni nooo hata nikivumilia jambo likanifika mwisho hakuna wakunibadilisha.What is your weakness and strength
DJ sepetu
Hahaha kimbao mbao hivi jamani? Najiongeza kidogoSo sweet.
Hizo ndio ladha zangu mama.
Yani hapo magnet imekutana na msumari
Hapo umenikosha mamiiMy strength ni mkweli natimiza ahadi tukikubaliana(siwezi kukugeuka hivihivi) +hardworking, caring but Weakness yangu kubwa nikisema no ni nooo hata nikivumilia jambo likanifika mwisho hakuna wakunibadilisha.
Nani kakuambia ujiongeze kwan? Angalia usije ukapitilizaHahaha kimbao mbao hivi jamani? Najiongeza kidogo
Inna tunajuana.Usijali mtu mzima huyo!
Inna si amekuruhusu!
DJ sepetu
Labda anisaliti kwa matabia yangu yaliyokithiri kama kumnyima haki yake kwa mda mrefu, uchafu uliopitiliza hapo ntajua shida ni mimi najirekebisha. Vinginevyo namlia timing tuUpo tayari kumsamehe mumeo kwa usaliti!
If yes how many
DJ sepetu
Ntakutafuta kama ntaona nakuhitaji bestMwajei. Ukimaliza interview unitafute ujuw nilishakuita toka jana ila naona kimyaa.
Usisikilize ya watu wewe nifate hujui bahati gani unaipoteza.
Ijumaa kareemNtakutafuta kama ntaona nakuhitaji best
Ndio sababu ya ule mpango uliosema Jana!?Labda anisaliti kwa matabia yangu yaliyokithiri kama kumnyima haki yake kwa mda mrefu, uchafu uliopitiliza hapo ntajua shida ni mimi najirekebisha. Vinginevyo namlia timing tu
Hapana, halafu mpango usikutishe unaweza kusitishwaNdio sababu ya ule mpango uliosema Jana!?
DJ sepetu
Mwajei mm nilijua unatania tu.Hapana, halafu mpango usikutishe unaweza kusitishwa
NawashangaaMwajei mm nilijua unatania tu.
Kwani kuna mtu aliamininile kauli?