hili swali lako na mada iliyopo mmmh!kweli tz kazi tunayo
Si unajua ward za akina kabwela sewahaji na mwaisela yani wagonjwa wa kule wengi ni waswazi wa menzese,tandika na sehemu kama hizo, nadhan unajua waswazi walivyobarikiwa midomo. Yaan kuna wagonjwa hawalali , yan wao masaa 24 umbea tu na mastor had nikatamani ningelazwa aiseeh maana wangeni discharge kabla ya wakat kwa umbea maana ivi tu siumwi hatar ,maana ukiumwa akil kidog zinafyatuka yan ingekuwa balaa
Yaan binamu unaniuaa mbavu hiv ban yako inaisha liniii ,binamu hiv huko unaishi mtaa ganii wewee
Si unajua ward za akina kabwela sewahaji na mwaisela yani wagonjwa wa kule wengi ni waswazi wa menzese,tandika na sehemu kama hizo, nadhan unajua waswazi walivyobarikiwa midomo. Yaan kuna wagonjwa hawalali , yan wao masaa 24 umbea tu na mastor had nikatamani ningelazwa aiseeh maana wangeni discharge kabla ya wakat kwa umbea maana ivi tu siumwi hatar ,maana ukiumwa akil kidog zinafyatuka yan ingekuwa balaa
Eeh ndo unanikumbusha binamu, nshaisahau account ya warumi yani mi nawaza umbea tu apa , mambo ya BAN ata sijui wanafungua lini account yangu, mi cha muhimu umbea napiga kama kawa, wafunge miez mwaka watajijua wenyewe uko na mabalaa yao.
Mmh na wewe mbea kiama mpaka mtaa unatak ujue?? Kwa kuwa mbea mwenzangu ntakutajia kwa Pm jembe langu usihofu

hahahaaa.....!yani mnanipa raha!
watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku
Hahhhhhhhaaa binamu siku ukihama jamii nami nahamAA unaniuaa mbavuuu haki ya mamaa
Watuache binamu , mimi na wewe tumetoka mbali maana kuna kipindi tulikuwa tunachambwa humu eeh mpaka mwenzio nikawa nasikia kizungu zungu,hadi kuna kipindi nikaw najisemea mimi na JF basi maana vichambo vilizidi.
Yani kuna watu wanachamba umu sijui siku izi wako wapi, ila tulivyokuwa na mahaba na umbea tulivumilia yote mpaka sasa ivi tupo wote tunalisongesha, maana wamechamba wakaona apa kazi bure wakaamua kutuacha.
Sasa kizungu cha niniiii mi walaaaaa nilikua nikitoka jamiii siwaziii kabisaaaa hahhhhhhhaaaaaaa
Sasa kizungu cha niniiii mi walaaaaa nilikua nikitoka jamiii siwaziii kabisaaaa hahhhhhhhaaaaaaa
watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku
Binamu nahisi jf huku hamna mtu mmbea aliyetukuka kama wewe.Binamu hata siku moja moja ingia hata jukwaa la siasa.
Kule kuna watu hawakawizi na wana maneno machafu ila naona wengi wanaingia humu kujipoza.hahahaaaa....!kule siasani dkk 0 ban..!kule uwe na roho ya paka!