Madam Rita ateseka siku 365 Muhimbili

Madam Rita ateseka siku 365 Muhimbili

Pole yakee atapumzika na kuvaa viatu virefu sasa
 
Madaktari wetu nadhani watakuwa na aleji ya kukosea kosea!
 
Mi siamini kama muhimbili moi walimiss hiyo fracture akafungue kesi kama kweli usikute yeye mwanyewe alikata ushauri wa kifanyiwa x ray wabongo ni wajuaji w kila kitu ndio maana mi huwa mtu akikataa ushauri ninaompa huw namwambia asile the better option aonayo yeye na si mi kufanya anavyotaka yeye
 
Sasa hapo wenzangu na mimi tusio na hela ya kukwea pipa, mbona tungekuja kushtuka mguu ushakuwa na more complications. Sometimes hizi hospitali za serikali zinaweka maisha yetu rehani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku
 
Hahaha yani binamu nahisi ukichanjwa sehemu yoyote utatoka umbea na sio damu. Umeshindikana kiama, so hata ukiwa mgonjwa lazima utafute ubuyu khaaaa?

We nomaa bina hujaniambia ulichambwaa niniii hahghhhaaa
 
watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku

hahahaaaaa....!
 
Hahaha yani binamu nahisi ukichanjwa sehemu yoyote utatoka umbea na sio damu. Umeshindikana kiama, so hata ukiwa mgonjwa lazima utafute ubuyu khaaaa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Si unajua ward za akina kabwela sewahaji na mwaisela yani wagonjwa wa kule wengi ni waswazi wa menzese,tandika na sehemu kama hizo, nadhan unajua waswazi walivyobarikiwa midomo. Yaan kuna wagonjwa hawalali , yan wao masaa 24 umbea tu na mastor had nikatamani ningelazwa aiseeh maana wangeni discharge kabla ya wakat kwa umbea maana ivi tu siumwi hatar ,maana ukiumwa akil kidog zinafyatuka yan ingekuwa balaa
 
watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku

Ahahahahaaaaaa Warumi bana umenichekesha sana.
 
watuache na wodi zetu za mwaisela na sewahaji, tushajizoelea wenyewe, ila ukilazwa muhimbili kwenye wards za akina kantupeni kwa kweli huboreki yani kuna wagonjwa wana midomo halafu wambea hatar, unakuta mgonjwa kavunjika mguu wameutundika juu lakin anvyochonga mdomo kama haumwi, yan masaa 24 midomo iko juu kama kasuku

Ha ha ha ha Binamu nimecheka mpaka mbavu zinaniuma hapa
 
Si unajua ward za akina kabwela sewahaji na mwaisela yani wagonjwa wa kule wengi ni waswazi wa menzese,tandika na sehemu kama hizo, nadhan unajua waswazi walivyobarikiwa midomo. Yaan kuna wagonjwa hawalali , yan wao masaa 24 umbea tu na mastor had nikatamani ningelazwa aiseeh maana wangeni discharge kabla ya wakat kwa umbea maana ivi tu siumwi hatar ,maana ukiumwa akil kidog zinafyatuka yan ingekuwa balaa

Binamu we kiboko, ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom