ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Anajuaaa mpaka mademu wake wote anawajuaaaa
Haya binamu ,naona unamtetea nduguyo.Warumi hamjui hata mwenykiti wa serikali ya mtaa wake japo anatoaga vibali vya kigodoro na mabeseni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajuaaa mpaka mademu wake wote anawajuaaaa
Duh kwa kweli inasikitisha mpaka mtu unaona hakuna haja ya kujivunia Tanzania.
Haya binamu ,naona unamtetea nduguyo.Warumi hamjui hata mwenykiti wa serikali ya mtaa wake japo anatoaga vibali vya kigodoro na mabeseni.
Fracture zote za mguu hata md5 anadiagnose alafu anasema MOI waliimisi..huyu anamatatizo...alafu hii swala la kulalamika lalamika nmemsikia tangu mwaka jana..
Sasa mnamchukuliaje hatua kama madai yake si ya kweli? Si atakuwa ameidhalilisha hospital kwa tuhuma ambazo si za kweli kama unavyodai?
Rafiki yangu alivunjikaga mkono wakamleta MOI, madaktar waka examine broken bones(X-RAY) ikaonekana hajapata mvunjiko wa kuweza kumfanyia operation, basi wakamuweka Hogo akarud Home, alikaa mwezi na nusu nyumbani mkono hali bado ikawa mbaya, ikabidi arudishwe ten hospital, kumbe mkono ulikuwa umevunjika kabisa na isingewezekana kuungika kwa Ogo, ikabidi afanyiwe operation , bahat nzur it was successful na jamaa yuko poa now. Muhimbili wapo vizuri sana, sema matatizo madogo madogo pia yapo, so they should take it as a challenge.
Pia Madam ritha anaheshimika sana, sidhani kama anaweza kutunga uongo kiasi hiki tena kwenye media, for me its impossible labda kama kuna mengine.
Sidhani pale moi kabisaa washindwe kuona mfupa uliovunjika??
Fracture zote za mguu hata md5 anadiagnose alafu anasema MOI waliimisi..huyu anamatatizo...alafu hii swala la kulalamika lalamika nmemsikia tangu mwaka jana..
Mbona mi simheshimuu,,,,?
Wewe madam ritha unaweza kumfananisha na mama ubaya kwa status apa mujin?
Kuna kitu na hawa global publisher..watu tunafanya diagnosis hapa jf doctor na watu hatuwaoni ndo iwe machief wa MOI there something fishy..na huyu mama hii mara ka ya tatu hivi anailalamikia MOI
Siiamini kabisa kama pale MOI walimiss fracture..simwamini yeye wala siwaamini hao global publisher..Sasa mnamchukuliaje hatua kama madai yake si ya kweli? Si atakuwa ameidhalilisha hospital kwa tuhuma ambazo si za kweli kama unavyodai?
Rafiki yangu alivunjikaga mkono wakamleta MOI, madaktar waka examine broken bones(X-RAY) ikaonekana hajapata mvunjiko wa kuweza kumfanyia operation, basi wakamuweka Hogo akarud Home, alikaa mwezi na nusu nyumbani mkono hali bado ikawa mbaya, ikabidi arudishwe ten hospital, kumbe mkono ulikuwa umevunjika kabisa na isingewezekana kuungika kwa Ogo, ikabidi afanyiwe operation , bahat nzur it was successful na jamaa yuko poa now. Muhimbili wapo vizuri sana, sema matatizo madogo madogo pia yapo, so they should take it as a challenge.
Pia Madam ritha anaheshimika sana, sidhani kama anaweza kutunga uongo kiasi hiki tena kwenye media, for me its impossible labda kama kuna mengine.
Siiamini kabisa kama pale MOI walimiss fracture..simwamini yeye wala siwaamini hao global publisher..
Kwa kile kitendo cha madktari kumfanyia mgonjwa operation ya kichwa badala ya mguu, mimi namwamini madam ritha.
Hii inatokea once in million cases na ilikuwa ni watu wanataka kuharibiana...lkn si kama huyu anavyoelezea ameenda mara kibao lakini bado wakawa hawaoni fracture si kweli..Kwa kile kitendo cha madktari kumfanyia mgonjwa operation ya kichwa badala ya mguu, mimi namwamini madam ritha.
Sio pale moi..siamini kama walimiss fracture kwenye mguu..i dont belive that..Mh hospitali za kibongo majanga wanaweza wakakwambia huna tatizo lakini ni mgonjwa hyo ya madam naweza amini mana hata mi ilitokea
Sio pale moi..siamini kama walimiss fracture kwenye mguu..i dont belive that..
Haya madai yanashangaza..halafu ni kama miaka miwili imepita analalamikia hili swala..kuna ishu hapo chiefHili gazeti la udaku colleague, hakuna anayemiss fractured bone on X-ray wanatafuta kick nitoke vipi na story